Nataka kuoa Mwarabu au Muhindi

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Nataka kuoa watu wenye ethnic hizo mbili, sina sababu ila basi tu nataka kufanya vitu tofauti na wengine. Kama umo humu here is your chance don't let it pass you by
 
Chance kwako wewe kupata Muarabu au Mhindi maana wewe ndo mwenye shida, yeye hajakwambia anashida ya mume "wewe"

'Unanshangaza'
Unajua inapokuja suala la ndoa desperation huwa haimo kabisa na kama kuna mtu anaingia kwenye ndoa just kwasababu yeye anataka kuwa kwenye ndoa basi anakuwa wrong. Makubaliano ya wote wawili is what matters so kama ninatoa chance anayeipokea ni yule anayeitaka na sio kumridhisha au kumhurumia yule aliyeitoa
 
Mh,makubwa. Hapa waswahili ha2na nafac...ngoja nipite.
Kwanini unasema huna nafasi? Unajua nilichokuwa nakitarajia kutoka kwenye thread hii, nilitaka wanawake wa kiswahili kama mimi waseme kwanini am going to hawa wengine and not them na wanishawishi nibadili mawazo
 
Why should they?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom