Tushirikishane akili za wanawake ambao tunakuwa nao katika mahusiano ya kimapenzi

Private joker

Member
Oct 31, 2016
38
71
Ikiwa hata kwenye vitabu vya dini imeandikwa, kuishi na hawa mama zetu inabidi kutumia akili Kubwa sana. Bila shaka hautashangaa kuwa akili zao huwa zinafanana sana, iyo isije ikakufanya eti kwa tabia ndogo ndogo za kipuuzi azifanyazo mwenza wako umuache kwa kudhani uko uendako hutozikuta nahsi utakuwa unajidanganya, wanawake walivyo unaweza kuta anajua kabisa kitu ichi ni cha kipumbavu na anakifanya makusudi kabisa, dhamira yake siyo akuchukuze ila anataka umwambie na umkaripie kwamba we mwajuma acha iyo.

Muda mwingne unajiuliza hivi huyu mwanamke wangu kichwani kwake Kuna matope au akili. Usije ukashangaa unamwambia kabisa hey wife saa Sita Kamil ntakupigia Kuna kitu nataka tuzungumze, saa Sita inafika unapigaaaaa weeeee simu haipokelewi au haipatiakani kabisa baadaee uko saa kumi ndio anakupigia alafu anakupa jibu rahisi kabisa " nilikuwa napika simu nikaisahau ndani au u meme ulikatika " kha sasa unajiuliza kama ulijua simu itaishiwa na charge kwa nini usinijulishe kwa msg kabla. .?

Kama unahasira sana unaweza ukapiga kwa kudhani kuwa anakudharau au alikuwa anachepuka. Au from no where unakuta siku nzima kanuna tu bila sababu ukimuuliza anakuambia madudu gani sijui. Haaaaa mungu tusaidie sasa tushirikishane machache uliyokutana nayo kwenye akili zao ili yakitukumba tusijawe na hasira bali tujue ndivyo walivyo.

Private joker hapa alpha coy
 
Hujaona vituko wewe,unakataza kitu hiki usifanye madhara yake ni haya unaondoka unarudi mwenzio ndio kwanza ushoga umenoga wanapiga soga hata kuona hakuoni,kupika hana muda anakula kwa shogaye ukiuliza jibu:kwani nikienda kuna nini,unafuatilia mawasiliano yake sms za kijinga na kushauriana waende kwa waganga mbaya zaidi shoga huyo hajaolewa kapanga ana watoto wakubwa ,hivi mama wa miaka 40 uwe na ushoga wa kupitiliza na binti wa miaka 22 ambae hana hata mtoto,nilichoka nikitoka anamwambia twende tuzunguke kwenye grocery mumeo akatununulie chips ndani vyakula viazi wanafaidi kuku na bata tu.Nilihisi labda umri alionao sio halisi maana mambo anayofanya mtoto wa miaka kumi na mbili au nne anafanya wa 22,Da mengine nabakisha moyoni ila tuishi nao kwa akili sana vinginevyo utaishia segerea unaweza piga mpaka ukaua.
 
Alishawahi nijibu "yani hapo nakuona kama mwanamke tu"....na nikikumbuka aishi nae yapata miaka mitatu, aisee iliniuma sana
Nilikaa kimya bila kumjibu kitu na nikajilazimisha kisahau maana ningesema nimpige nahisi ningemuumiza sana kama sio kuuwa kabisa....baada ya siku kadhaa akaniomba msamaha eti khaaaa wanawake kweli tuishi nao kwa akili sana.
 
Wengi wana haribu ila huyu mke Wa anko ni kiboko,hataki anko atoke kabisa.Mda wote anataka walale ukizingatia jamaa anasoma anatakiwa aende chuo lakini mara nyingi akirudi home huyu mke hampi hampi jamaa positive idea bali anampa megative idea,sema jamaa anajiongeza yeye mwenyewe (self decision) baada yakumjua weakness za mkewe.
 
Daaaah mi wakwangu nilimpa kadi ya benki yenye hela kiduchu tu. Nkamwambia ukitaka kutumia nitaarifu kwanza. Basi nikawa naona miamala tu inakuja kwa msg nikakaa kimyaa. Siku moja nikamtega naomba buku20. Ananiambia iliisha tayar eti alitumia kwenye besday. Kwann haukuniomba?? Anasema bahati mbaya.Yani bahati mbaya unafunga safar hadi benki na kutoa???

Nilimtizama tu nikasepa.
 
Demu wangu anaweza akaamua tu kutopokea cm zangu hata cku 3, cku akipokea ananiambia Niko bize na mama ndo maana ckupokea cm yako, ulitaka nimuache mamangu nipokee cm yako??
Hii mimi ndio hunichukiza zaidi yani unampigia weeeee na simu yako anaiona alaf hapokei ukimuuuliza anajibu very simple nilikuwa darasani nasoma. .! Sasa unashindwa kuelewewa kwani wakati napiga ungenitumia msg kama iyo kunitaarifu ungebobomoka. ..? Natamanigi niseme bye bye haki ya mungu
 
Back
Top Bottom