Linapokuja swala la mapenzi huwa wanaume Gea zetu ni auto ,imana tunaingia fasta na kutoka fasta inapopidi,
Ila watoto wa kike wao Gea zao ni Manual,anaweza akachukuwa muda kukupenda na pia...
A man by the name of Masanobu Sato attended the 2009 World Masturbate-a-thon held by the Center for Sex & Culture in San Francisco and set the world record for longest session by jerking it for 9...
Habari za maisha waungwana!?
Hivi umeshawahi kukaa na kujiuliza kama kijana hasa kijana wa kiume kwanini watu wenye pesa wanavutia na upendwa zaidi na mabinti?
Umeshawahi kuwa na mahusiano na...
Habari za leo, natumaini mu wazima wa afya kwa uweza wa M/Mungu.
Twende kwenye mada;
Kijana mzuri, mtanashati ametokea kunipenda kulingana na maelezo yake na matendo pia, kulingana na uchache wa...
Hadithi NINGEJUA 1
Mtunzi Christopher Adamu Kibona
Mahali Iringa, Tanzania
WhatsApp 0752773513
Sehemu ya kwanza
"We mtoto embu amka, kulala gani huko mpaka saizi ?". Ilikua ni asubuhi ya...
Hivi hizi familia nyengine zimelogwa..wazazi wanadi mahari ya 2,000,000... Katika maisha haya ya leo...
Baada ya kuwaomba wakashusha mpaka 1,800,000. Tukaomba kuondoka na kuileta hiyo...
Habari za Jumanne wapendwa,
Jana usiku niliongea na shost, huyu shost alifiwa na mama yake January mwaka huu, kwakweli ulikuwa msimba mkubwa sana, ulimsumbua na alishindwa kwenda kazini miezi...
Habari wanajamvi,
Kuna maswali najiuliza sipati jibu, hivi utamjuaje mtu mwenye mapenzi ya dhati kwako ambaye atakuoa?
1. Unaweza ukampa mbunye akabaki kuisifia na kuitaka kila siku ila...
John alimtumia meseji mke wake; “Samahani mke wangu sitaweza kuja kukuchukua, nipo Hospitalini hapa Mama amelezwa kapungukiwa damu ndiyo nahangaika watu wa kumuongezea”
Mkewe akajibu; Kwahiyo...
Kuna mahaba ila haya yamekua to much kwa my hubby yaani mpaka sasa nawaza nifanyeje maana huku alipofika sasa naona nakosa uhuru mwanaume akisikia tu simu imeita anataka ajue ni nani sasa imekua...
Habar za mida wana MMU...nimekuwa msomaj mzur wa thread za watu humu na kutoa support ya ku comment nyuz zao.ss na mm yamenikuta nisiyoyatarajia
Kwa mfano ukagundua girL wako ana chepuka na...
Jamani sikukuu ya Meimosi inaendaje huko kwenu?
Kumbe kuna watu huwa wanapagawa penzini kiasi hiki. Hizi simu ninazopokea kila mara sio za nchi hii. Na nilivyo mvivu basi najinafikisha tu...
Mimi ni kijana wa kitanzania, umri wangu ni kati ya miaka 24. Historia yangu ya maisha ni complex na rough kidogo lakini namshukuru Mungu bado naendelea kufaidi pumzi ya bure bila malipo...
Ni jambo la kawaida mno ukiwa maeneo yao ya Posta, Stesheni bila kusahau pande za Upanga kuwaona Wahindi ambao huwa na ' biashara ' zao mbalimbali kuzifunga kuanzia Saa 6 hadi Saa 8 huku...
Tunafahamu pombe ni starehe kwa wale watumiaji lakin pombe hii ukizidisha madhara yake ni makubwa, ikiwa ni pamoja na kukuaibisha kiasi kwamba fahanu zikijurudia utajuta kwa nn uliitumia.
Jaman mm...
Push.... Push.... Jitahidi ni sauti za madaktari wakijaribu kumpa moyo mama huyu ili ajifungue salama ilikuwa siku kama ya leo katika hosptali ya kyela,mama mmoja alijifungua mtoto wa kiume...
"...Jamani mi sijui utaratibu wa
hapa., naomba mnirudishie tu
huo mkoba wangu.."
Nikiwa bado naendelea
kulalamika pale uwanja wa
ndege,
mara akatokea mkaka mmoja mweupe aliyevalia sare za
hawa...
Habari zenu,
Eti mwanaume ukichati nae tu ni sababu tosha kwamba umemkubali? Kuna rafiki yangu alizoeana na mkaka mmoja hivi kwenye mkutano wa kikazi, wakawa wanachati wanawasiliana na kuongea...
Rejea mada tajwa,
Heri ya pasaka mwana MMU,
Binafsi sijawahi kufanya wasichana washikane mashati au mimi binafsi sijawahi kukabana na mshikaji kisa msichana ila niliwahi shuhudia wasichana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.