Kifungua uchumba kwa Wachaga wa Marangu

agprogrammer

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
468
362
Ndugu mnaendeleaje poleni na majukumu. Samahani naomba kujuzwa hivi kifungua uchumba huanzia kiwango gani hususani kwa wachaga wa Marangu.
 
tulimsindikiza ndugu yetu kutoa mahari huko kaskazini
kilichotukuta tungeishia Tanga kila mtu angepata wake hata wawili na tuliondoka tunadaiwa kama tulienda kukopa
zile lafudhi za wale wazee bado zipo kichwa

kupikiwa maziwa gani sijui wanayaita gharama yake ni laki moja hakuna kushusha
 
Hataree asee
 
Bado ya kutisha mbege
 
Kwahiyo Tanga twatolewa kwa mafungu ehh?
 
sasa demu wangu nae si bora aniambie gharama zote kabisa kabla sijaaibika huko ukweni... unaweza kujikuta unarudi kwa miguu!!!!
 
tulimsindikiza ndugu yetu kutoa mahari huko kaskazini
kilichotukuta tungeishia Tanga kila mtu angepata wake hata wawili na tuliondoka tunadaiwa kama tulienda kukopa
zile lafudhi za wale wazee bado zipo kichwa

kupikiwa maziwa gani sijui wanayaita gharama yake ni laki moja hakuna kushusha
Kwani ilikuwa lazima,siku hizi ni rahisi sana gonga mimba alafu mrudshe kwao kama miezi miwili alafu mwezi mmoja punguza mawasiliano alafu jitokeze,mkuu unachukua kwa mkopo mahari haiishagi
 
tulimsindikiza ndugu yetu kutoa mahari huko kaskazini
kilichotukuta tungeishia Tanga kila mtu angepata wake hata wawili na tuliondoka tunadaiwa kama tulienda kukopa
zile lafudhi za wale wazee bado zipo kichwa

kupikiwa maziwa gani sijui wanayaita gharama yake ni laki moja hakuna kushusha
 
msahafu tu unapata mke
Sio kweli mkuu

Mtu anapoolewa kwa kupewa(mahari) msaafu hayo ni maamuzii yake binafc
pengine anamuonea huruma mwenzake au pia imani yake ndo inamtuma atake hvy
Lkn mila zipo palepale wazee wetu sikuhz wajanja sana
 
Back
Top Bottom