Wakuu habarini za weekend...!? Ebwana kabla ya yote ngoja kwanza ni declare interest kuwa nilishawahi kutembea na mke wa mtu.......
Katika kutembea nae, kuna makosa ya kiufundi yalitokea mume...
Jana nilikua na mshikaji wangu tukibadilishana mawazo na kuhave funny, ghafla SMS ikaingia kwa simu yake. Huwezi amini nilijikuta nikiongea mwenyewe na yeye alikua akiitikia kila kitu...
Mida flan ya sa tano nilipanda public transport kutoka studio kwenda kinondoni B.
Gari ilikuwa na watu wachache kama wawili.
Mbele yangu alikaa dada mmjoa kavaa kiheshima sana na ni mzuri. (Model)...
Habari wanabodi
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji kuagiza gari, TOYOTA IST 0(zero) mileage,ningependa kufaham kwa wazoefu kuhusu reliable agency,garama za bandarini mpaka niipate...
Shape of You...
I know these are lyrcs, till I share them here, there is a story to tell....
Ilikuwa hivi,.... katika moja ya safari za Kasie (wiki iliyopita) nilipangiwa kazi mahali flani...
Mzee wa Ganda la ndizi...Swahiba Maulid Baraka wa Kitenge akiwa na wake zake wakipata burudani ya mziki.
Hii ndio furaha ya uke wenza,hampigani wala kutupiana maneno..Mnacheza na bwana kwa nafasi...
unaiweka roho yangu juu juu kama mtu nayeoga nje, mpenzi yako kwako yamekuwa ya dhati kama mheshimiwa anavyompenda makonda. sijajali watu wanasema nii juu yako. kuwa hujatulia na kuwa una mambo...
Kua uyaone jamani ama kweli hichi kizazi ni cha nyoka nimetafakari mpaka nikaogopa nilikua katika mishe zangu za kwenye social network siku moja nikatupia pc kadem kakalike mwishowe nikaingia...
Ni miaka mingi, mingi sana iliyopita katika ufalme wa bahari Kule kilipoishi kitu pekee nilichokipenda sana. Kwa jina Malaika. Naye aliishi bila wazo lolote zaidi ya kupenda na kunipenda mimi...
Wadau hii ni sawa kumtembelea mpenzi wako bila taarifa, tunaita surprise kwa kizungu ile anafungua anakutatana na wewe......nimeshawahi kufanya hivo nilinuniwa siku mbili.
Hi wakuu.
Kichwa cha habari kama kinavyojieleza.
Kwanini kwa asilimia kubwa wanawake wanasahau kupaka makalio mafuta (Lotion) zao wanazotumi. Mala nyingi nakutana na wanawake wa dizaini hii hadi...
MIMI(Mwanaume)
1.Najua Kusoma na Kuandika,sijaoa,sina mtoto(Mategemeo ya kuoa yapo,lakini sijajua bado ni lini)
2.Sipendi mawigi,mtu feki feki,uongo,kuhonga(Sina mipesa mingi anyway).
4.Napenda...
Habari wakuu wanaMMU,
Nimewahi kusikia pahala pengi wengi wakinena hili jambo kwamba pesa huongeza hisia za kimapenzi au nguvu za kiume. Na wakati uanapokosa pesa hizo nguvu pia hutoweka yani...
Naje wakuu
Jamani kuna Jambo najiuliza
Hivi ni lazima sisi wanaume kuhonga honga pesa Kwa mademu zetu yani michepuko?
Unakuta mwanaume anajisifia kabisa kwamba bingwa wa kuhonga wakati wazazi wake...
Leo nimesafiri na wife kwenda kwao Moshi.nikiwa njiani tumbo la kuhara limenibana sana.wife kanishauli nijikaze mpaka kwao.nilipofika hapa kwao.choo kipo uwani na nje ya choo kuna kibaraza wamekaa...
Wandugu,mim ni kijana mwenye umri wa miaka 26,elimu yangu ni shahada ya kwanza chuo kikuu cha Dsm,nimetokea kuvutiwa saaana na mmama mmoja ambaye ni mbunge na waziri wa bunge la jamuhuri ya...
Nilikua na mchumba wangu, tulipendana kama chama choma alibahatika kwenda ngambo, chuo kikuu kwenda kusoma, miaka mitatu kule Japani kusomea udakitari, Stella wangu ehhh.×2
Nilivyo mpenda Stella...
Habari,
Inakuwaje, umeoa mke mzuri tu au umeolewa na mume then baada ya mwaka unakutana na mtu wa ndoto zako, utafanyaje?
Mf kwa wanachuo, kuna kasumba ya kuamua kuishi na fellow student as...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.