STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Wahenga walisema usifanye maamuzi ukiwa
umefurahi sana,
au ukiwa una hasira sana...
Mimi
naongeza, Usifanye maamuzi ukiwa ndo umefall in
Love..
Bado una kimuhemuhe cha kuanza mahaba
na mtu,
watu wengi huwa wanakosea hapa...
Kuna watu imewacost...Anaanza Uhusiano na mtu eti kuonyeshana wanapendana anampa ATM na
Password.... Mwingine eti anafungua Joint
Account....Na Boyfriend???
Girlfriend???
Chonde...
Wengine wanajifanya wako very focussed, wanafungua Biashara ya Pamoja, wanachanga kimyakimya
wakiwa wamejifungia chumbani na Mishumaa, wanaanza biashara ya mbao
pamoja,
haijaandikishwa popote!...Nguvu ya Mahaba inafanya kazi hapo....
Kimbembe baada ya miezi miwili, mambo
hayaendi, sikilizia balaa lake..
-Naomba ATM yangu
nakwambia,
-mbona umedraw hela zangu
hujasema, rudisha, ntakufunga nakwambia...
Ulipaswa uwaze, How do you give Boyfriend mmekutana
wiki 2 passwords zako za benki...so sensitive...acha
kuwa na akili za uji wa ulezi,
use your brain..
sio unatekewa tu na Mahaba mpaka unafanya vitu bila
kuwaza...Si kila Girlfriend anakuja kwako kwa
wema, wengine wameona na vitu,
we unajifanya uko dimbwini unampa ATM anakukamua mapene
yote....
Si kila Mwanaume ana mapenzi, ukijifanya we
mtaalamu wa kufall unampa tu vitu,
siku
akikugeuka huna pa kushika maana vyote
alivyokupa mlipeana Kitandani mkiwa mshapimana
ubavu na mijasho lundo...Use your brain acha kujifanya we pendapenda,
Ubwege huo utaliwa
siku si nyingi,
Mapenzi yenyewe yako wapi siku
hizi, wizi tu!