mbasa ya konge
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 202
- 436
Wakuu bila shaka ni wazima wote. Wiki mbili zilizopita nilikuwa na hafla fupi ambayo ilikuwa hafla isiyokuwa na muongozo wa MC. Ilikuwa hafla ambayo nilifanya kama sehemu ya kumpongeza mke wangu kwa kutimiza miaka 24. Lakin kitu kilichonichefua na kujuta kwa nini niliandaa hafla hii ni pale mke wangu alipoanza kuwalisha keki watu wengine tofauti na mimi na watu wale ni wanaume. Kwakweli nilijiona nimedhalilika sana nakuanza kuona mke wangu hanidhamini na mim si kipaumbele chake.
Wajuzi wa mahusiano naomba msaada wenu mnifahamishe protocali za kulishana keki. Je keki ina maana gani kwenye mahusiano?Nianze kuhisi naibiwa au ni ushamba wangu tu unaonisumbua kuhusu mambo haya ya kulishana keki?