Anonymous
Senior Member
- Apr 6, 2006
- 116
- 336
Kuna stori nimeona sehemu eti mke amekwenda kushtaki kwa moja ya acc za udaku huko insta eti karogewa mumewe hadi kamkimbia yuko na huyo binti.
Yaani mijanamke ya aina hii mimi sielewi hata kidogo, hivi kwanini unagombana na mwanamke mwenzako kisa mwanaume? Kwani huyo mwanaume ni nani mpk anagombaniwa? Si binadamu tu kama viumbe wengine?
Hivi ndo kukosa self worth ama kitu gani? Simtetei alieharibu ndoa ya watu Ila mimi napatwa na hasira na mke anae lia lia eti mumewe kamkimbia,ujinga huo.
Siku wanawake watajifunza kua na self worth na kujali hadhi zao upuuzi wa kulilia wanaume na kuwafanya miungu watu utaisha kwenye dunia.Wanawake don't settle for less, he left mwache aendee tenaa mkimbize don't sweat over a human being kama wewe anaeenda chooni kama wewe.
Niwape siri hivi mnajua kwanini viumbe wanaume wanatesa wanawake? Its because sisi tumewaruhusu they say people treat you the way you allow them.
NB:Niko katika mpango kabambe wa kukumbusha wanawake umuhimu wao hapa duniani .
Alamsik