Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini wadau? Nimeshuhudia tukio la kusikitisha sana na kila mara ninalifikiria. Iko hivi, mimi ni mpangaji mmoja wapo kati ya wapangaji watatu. Kisa hiki ni juu ya mpangaji mwenzangu...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Wanawake wengi maarufu kama Bongo movie,na wabongo flaver kuolewa kwao na kulea familia na mume ni kazi sana. Kweli huwezi faidi zote upate umaarufu na ufaidi ndoa ni vitu viwili haviendani. Wengi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tunawadharau sana wanawake, lakini Hawa nduo mademu zetu, wachumba zetu, wake zetu, dada zetu, shangazi zetu, mama zetu na bibi zetu. Je wakitoweka na ulimwengu ukabaki Wanaume watupu tutakuwa...
30 Reactions
97 Replies
6K Views
Nikiwa katika kipindi kigumu cha kuwa peke yangu na vishawishi vingi Kuna mheshimiwa mmoja Kijana ni rafiki yangu tulikutana nje ya nchi wote tukiwa safarini mawasiliano ndiyo yakaanzia hapo...
1 Reactions
81 Replies
5K Views
Mtu alimtumia meseji mke wake; “Samahani mke wangu sitaweza kuja kukuchukua, nipo Hospitalini hapa Mama amelezwa kapungukiwa damu ndiyo nahangaika watu wa kumuongezea” Mkewe akajibu; Kwahiyo Mama...
11 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari zenu wadau wa jukwaa letu pendwa bila shaka mko poa,, Leo nimeona nishee na nyinyi tukio hili ambalo lilinikuta miaka saba iliopita,,, Nilisafiri kutoka Tanga mpk Arusha kwa shangazi...
6 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu chondechonde usije ukamwachisha kazi mke wako ona sasa mke wa jamaa anaenda kufumulia kiulainiii uko tanga
3 Reactions
59 Replies
4K Views
Wananchi mimi niko vizuri sijui nyinyi. Ebwana kwenye public transport huwa Kuna ule mtindo wa wanaume kuwabambia wanawake, hasa njemba ikigundua bidada kajaaliwa basi habanduki ng'o Binafsi...
2 Reactions
21 Replies
8K Views
Labda ndio maana wengi wenu hamuolewi.Yaani wengi wenu mkiona mwanaume anahesabu pesa vimacho vyenu vinakuwa juujuu kama mdoli!hatukatai wote tunapenda pesa ila nyie mmezidi hadi kero.....sijui...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Hello ladies & gentlemen. just a moment ago, i was reading a very interesting article and i would like to share it with you MMU members. enjoy.. If You Want To Be Successful, Marry Your Best...
12 Reactions
321 Replies
21K Views
Wana jamii forums wasichana natafuta mchumba tukiridhiana nioe Sofa 1) Awe na akili timamu 2)Awe mweupe au maji ya kunde 3) kabila lolote na Taifa lolote 4)Asiwe mlevi awe mwislamu au kama ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa takribani miezi mitatu sasa nimekua nikifuatilia tamthiliya za mapenzi za kikorea. Katika muda huo wote sijaona hata kipande kimoja ambacho mwanamke anamuomba pesa mpenzi wake... Cha...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nina umri wa Miaka 23 Nasoma Shahada ya Udaktari Mwaka wa Pili Niko Dar es salaam Natafuta Rafiki wa Kike Umri awe 18-21 Sibagui Dini Awe anaishi Dar es salaam Awe mwanachuo wa chuo chochote Awe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarin wanajamvi Leo hali ya afya yangu haikua mubashara ikabid nijisogeze zahanati ili kupata tiba,nikiwa ktk harakati za kuhudumiwa ndio nkakutana na kihoja cha dada mjamzito ali akilalamika...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hali vipi wanajamvi? Nina mshikaji wangu na ambaye ni mwenzangu kazini majuzi haya amegundua mpenzi wake ana uraibu mkubwa wa sigara kwa taarifa aliyonipa ni kwamba hili ni jipya kwake kwani...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Hello Gentleman and Ladies, Yaani huwa nikimwona mwanamke ambaye amevalia hijab huwa nawapenda sana ukute amefunika na uso ameacha hayo macho tu .ukute ana macho yale ya kurembua halafu apake na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za leo wana JF? Kama kichwa cha uzi huu kinavyosomeka, nataka kufahamu kuwa Je wanawake walio katika ndoa za Mitala (Polygamy) (Mme mmoja, Wake wengi) huingia katika ndoa hizo kwa hiari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wasalaam wakuu Naomba kujuzwa kama inaruhusiwa kisheria kumtongoza Askari wa kike akiwa na Uniform Nipo hospital moja hapa nimekaa na correctional officer wa kike tena ni kigori kweli kweli...
5 Reactions
94 Replies
16K Views
Habarini wana jf, Naomba niende moja kwa moja kwenye point.... Usiku wa kuamka leo nimekosa amani totally na nimewaza sana lakini nakosa majibu nikaona ni bora niombe msaada kwenu. Ni kwamba...
1 Reactions
90 Replies
6K Views
Jambo Jf. Mwisho wa mwezi ndo huo,utasifiwa sana na mpenzi wako,mara sweetheart ,mara honey ,mara beibi n.k sasa kuna wengine wameenda mbali wanawaita wapenzi wao "we ndo kinjekitile wangu" duuh...
0 Reactions
1 Replies
754 Views
Back
Top Bottom