Ushauri: Nimechoka kufananishwa

geraldincredible

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
2,035
7,223
Wakuu,

Nimekua na jambo linalonitatiza sana katika kutembea na jinsia tofauti sijawai date na msichana aseme hajanifananisha na boy au ndugu yake yoyote.

Msichana wangu wa kwanza(o level)nilimpata alisema nimefanana na mtoto wa anko yake ambae yuko UK(binamu najua alikua anakula).Yani alikomaa kunifananisha kila akiniona anafurahi mpaka nikala.

Nikaachana nae(binamu alirudi akaanza dharau) kwenda nikapata msichana tena nakumbuka nilikua kwenye gari. Kuniona akachachawa paah akanihug mimi aibu msichana kisu alafu simjui nashangaa ananambia Raheema miaka mingi uko wapi sijui bla bla bla kibao. Mi jina langu Gerald ilo la Raheem silijui alivyocalm down ikabidi nimwambie sio mimi wee alishangaa sana.

Basi tukachange namba tukaanza chart mwisho akawa msichana wangu nilidumu nae kidogo hatimaye tukaachana(nilimshindwa alikua sista duu sana sijui kama huyo raheem wake waliwezana)

Maisha yakaendelea nikaenda chuo nikapata rafiki wa kike tukawa mabest kweli asee nikaona acha nile saund, msichana akaja, mapenzi yaakaanza baadae akanambia G hujui kwanini nilikukubali fasta kwasababu umefanana sana na x wangu daaah nilimaind sana lile penzi halikudumu.

Hapa na andika uzi huu kuna msichana nimekutana nae kwenye groups za mpira hata sijampiga saund ila kanitumia picha za mwalimu wake wa UDSM ananambia nimefanana nae nikimuona uyo ticha naona kabisa huyu sio mimi ila uyo manzi kakomaa kweli nimefanana na lecturer wao.

Et wakuu hii manake nini nimechoka kufananishwa
 
N nafananishwaga sana na Chris brown Mara neymar Mara boateng mastaa mbalimbali wa basketball kutokana na ushombeshombe Wangu wa kizungu
 
Kumbuka wadada hawajui kutongoza! Nahisi kwa jinsi hiyo utawala sana,utakuwa na kamvuto fulani ila wanashindwa kukwambia...
 
Mkuu wee usimaindi uwoni kama unapata ruzuku ya papuchi wee wakikufananisha waambie kweli bhana namjua uyo jamaa ata kma humjui

Wee kula izo nyapu tu hakuna namna
 
unanikumbusha first day chuoni mkuu....ulikuja msista duu ukadai nimefanana sana na boyfriend wake waliotengana...likaanza kunipepesa lenyewe mwaka wa tatu mi wakwanza dooooh....shida tupu...ila lilikuwa na mapaja matam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom