Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Waungwanaa, hapa nimedatajee?
Kuna haka kabinti niliwahi kukutana nako mitaa flan ya Mwenge wakati nimeenda kupata kilaji. Kalikuja na dada ake pamoja na shem wake wakakaa kwenye meza moja na mie way back then.
Ile katika kubadilishana mawaili matatu nikakapa biz card yang, from there kakanitafuta kakiwa likizo huko kwao A city...
Mzee nikakatumia nauli kaibuke mjini na kwa vile nilikuwa nasafiri kikazi nikaacha funguo za geto kwa jirani kakija kazikute.
Sasa baada ya kumtumia fungu, akazingua, akajifanya kua bado hajarudi. Kwa kweli nilikasirika kuona kama vile nimetapeliwa nikakapotezea.
Since then leo kametupia mafoto mitandaoni. Yan kamependeza balaa.
Sasa sijui nipunguze hasira nirudi nikajiweke au niendelee kubana?