Je, wangapi tuliacha wapenzi wetu kisa kutokujua matmizi ya mtandao hasa Facebook?

Hata huekeweki mwanzo umeanza kutuuliza swali wangapi tuliacha wapenzi,ukaja katikati unatupa story ya mpemba mara umasikini wake,mwishoni unatuomba ushauri...sasa tusimamie lipi mkuu kwenye huu uzi embu futa ujipange tena..
 
Sio picha nje ya kitabu ibebe topic zote au yaliyomo ndani!! Nmesema bado Nampemba Bint nimuoe awe wa pili, kwao shida na wanajifanya waislam saaf ila hawatak kuniozesha na kauwezo ninako kias,, Bint yupo ready kupokea vyangu ila PAPUCHI(mimba, nimtie ) hatoii kabsaa!!.
Nafanyaje jamaaani
 
Ni kama miaka 4 hivi tangu nimuache Niliyempenda Saana kisa kutokujua TERMINOLOGIES za maneno mtandaoni!!

Sitaweza kuisahau siku niliyoingia Facebook Online na nikakuta katka page ya Mpenzi akiwa amepost picha ya mkao wa kitandani( kakalia pembe ya kitanda) na kwa juu kuna kale kaTAG fulan WAS WITH.....!! daaah nilipanik saana na kumtolea povu balaa na kumuona Malaya saana maana hata papuchi nilimbahatisha Mara moja tyuu tukiwa na zaidi ya miaka 3 uhusiano!!

Nilimuacha mtoto wa Kipemba mwaka huo akiwa Mzumbe mwaka wa Kwanza na nkaish kinyemela nikiwa namuwaziaa balaa ila bado nikawa kwa zaidi ya mwaka wa 1,2 bado cjajua ile maana na nilipomtafuta sikufanikiwa kabsaa na hatmae mwaka Jana yeye akanitafuta lakini m'baba nshakua na mke halafu Mpemba anataka Ndoa kiivo ivo awe bmdogo!!!

Kidume nkajipanga niongeze chuma ya pili daaah ckujuua kumbe WAPEMBA NJAA KAALI SAANA EENH,, mtoto wa watu kaanza kutengwa kwao Mara hatukubali , Mara huyo siyo Mpemba,, maraaa ooh ww bado mdogo kuolewa Bmdogo Mara oooh ana Mali zipi!!! Yaaan mpk ujinga!!

Ntaendelea kuuleta huu Uzi npate ushauri wenu ila kila jitihada nafanya kuomba mzigo niende na manuizi ya Kumtia Mimba Bint ANAGOMEA KUTOA PAPUCHI......

WAKUU NAFANYAJE NA KABINT NAKAELEWA JAPO KWAO WANAKAONA KM ASSET ILA KWA MZEE MAGU KABINT KANATEMBEZA VYETI TUU,,
Your tittle is quite different with your explanations,, subiri waliokuelewa wajewaje kukuadvice
 
Mmmhhh,, Ndomaana natakiwa kuurudia Uzi!!! Tafadhalini maana NAJUAKUSOMA ILA KUANDIKASIJUI
 
Back
Top Bottom