Mabosi Wakali ni Dosari ya Kimapenzi

NUCLEAR BOMB

JF-Expert Member
Jan 23, 2017
342
323
Habarini wakuu.
Kuna baadhi ya mabosi wana tabia ya ukali na kufokafoka bila sababu za msingi au kwa kosa dogo tu. Muda wote hawana furaha kwao hakuna kitu kizuri kila kitu kibaya.

Kwa tafiti yetu bubu kwa ushirikiano na wale warembo wa maofisi mabingwa wa kujilengesha kwa mabosi tumegundu kwamba hasira hizo zinatokana na kasoro za kutokufanya vizuri kwenye mambo ya kimapenzi na kuwafanya kuwa na tabia ya kutokujikubali ambayo wanajitahidi kupambana nayo. Hivyo wengi wao wana Kasoro mojawapo utatofaitisha kwa jinsia :
1. Wana vibamia na wengine hali ni mbaya mana ni kama kidole cha mwisho.
2. Hawafanyi mapenzi mara kwa mara hivyo huwa mfano wa maksai walivyoasiwa huwa wakali na nguvu ya kufanya kazi.
3. Hawana nguvu za kiume.
4. Hawana uzazi au uzazi wao ni wa shida.
5. Hawajui mapenzi na hawawatoshelezi wenza wao.

Hizo ni baadhi tu ya sifa wanazopungukiwa baadhi ya mabosi katika ofisi mbali mbali na kuwafanya eitha wawe na roho mbaya ya ukatili na hasira zisizoisha, chuki na visasi na kusababisha wale wanaowasimamia wakose amani kazini.

Tuwaombe tu wake zao, waume zao au wapenzi wa wenzetu wenye dosari kadhaa za kimapenzi wajitahidi kuwapa faraja ili kazini watumishi wengine wawe na amani na upendo. Amen.

Karibuni tutiririke
 
Ulivyo malizia hapo chini ndio nimegundua umekurupuka (nawe unakaribishwa ku-like na kuririka vile ujuavyo)
 
Hii thesis inaweza kuleta PhD !
 
Vipi maboss wa kike je
Nao wanakuwa na stress za mapenzi pia kwa sababu wengi wao kwa wale wasioolewa hawatongozwi wanaume huwaogopa kutokana na cheo chao na waliolewa wengi wako mbali na waume zao hivyo hawapati muda wa kukwichikwichi au huwa ni mara chache. Nilo huwasababishia hasira coz hata wakivaa vizuri ni wanaume wachache sana 1% watajitosa hata kuwasifia kama wamependeza.
 
Back
Top Bottom