MALIMI MESHACK
Member
- Mar 30, 2017
- 16
- 0
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, nina rafiki wa kike lakini huyu rafiki wa kike huwa tunapenda sana kuongea usiku, lakini kila nikiongea naye siku hizi maongezi hayaishi mara ananiambia mimi sina usingizi kabisa lakini cha maana anachokuambia hakuna zaidi kukuulizia tu mchumba wako na kuanza kukuambia eti nilikosea sana kuwa na huyo mchumba mana hatuendani ila yupo tunayeendana naye na siku moja nitamjua tu, mimi na mchumba wangu tunapendana sana.
Je nisitishe mazungumzo naye? Au nifanyeje mana anaweza kuniharibia mahusiano bure.
Je nisitishe mazungumzo naye? Au nifanyeje mana anaweza kuniharibia mahusiano bure.