kabon14
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 1,233
- 867
Habar wakuu.,
Kuna dogo kaniomba ushauri juu ya suala Hilo, ..
Anadai anashindwa kusimamisha uume wake kwa wakati anapokuwa Na mwanamke kitandani.,hasa anapokuwa gizani
Nimgen katika mapenz, umri wake n miaka 20,muda mwingi amekuwa shule sasa amewah kujihusisha Na masuala ya punyeto..!
Anaomba ushauri..!