Emojis
Senior Member
- Jan 4, 2017
- 191
- 219
Habari wana jf
Niende moja kwa moja kwenye mada, ni kawaida sana mwanaume kumwambia mwanamke atoe mimba linapokuja suala la mwenzi wake kuwa mjamzito. Tena wengi wao ndio hutafuta na njia za kutoa kwa madai ni salama, wengi tu wanatumia na haziwapi madhara nk
Kiufupi wanaume ndio chanzo kikubwa cha mimba kutolewa au kubaki mie naona kama wanaona ni kitu kidogo wanawake wawe wanalea mimba akishazaliwa mtoto unampelekea baba yake akamuue sababu hataki mtoto, sio tuwe tunapeana dhambi tu za kuua.
N. B usitumie kigezo cha kusema bado hajawa kiumbe kamili mara hizo ni damu tu. Mara mimba inapotungwa tayari ni maisha ya kiumbe hai. Kuua ni kuua tu kiwe tumboni ama hai.