Mwanamke ajioa baada ya kukosa mchumba wa kumuoa

Tuwaseme

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
645
1,191
Mwanamke mmoja ambaye anaugua saratani ya matiti amejioa mwenyewe baada ya kusubiri mchumba kwa muda mrefu.

May Chen mwenye umri wa miaka 28 kutoka Taiwan ameambia BBC kwamba anaugua ugonjwa huo lakini hajakubali sababu hiyo kuhujumu ndoto yake ya kuolewa.

''Nimekuwa nikisubiri mtu kujitokeza na kusema kwamba angependa kufunga ndoa nami mbali na kupiga picha za harusi nami aliambia BBC .

Anasema kwamba wakati unapohisi kwamba huna miaka mingi ya kuishi huna budi kujifanyia maswala ambayo yamekuwa ndoto yako.

Anasema kwamba ameamua kuafikia ndoto yake kupitia kupiga picha za harusi. Alijichagulia marinda yote manne na vito alivyovaa.

Haki miliki ya pichaAFPImage captionQ May Chen mwanamke mwenye saratni ya matiti aliyejioa

Anasema kuwa wapiga picha walimshauri kupiga picha katika studio lakini yeye akawaambia kwamba anataka picha sawa na zile za harusi.

Hivyobasi alikodisha gari na kwenda kupiga picha hizo katika maandhari ya harusi.

''Nilipovalia rinda la harusi nilijawa na hisia mpaka nikahisi kulia''.

Anasema kwamba alihisi kana kwamba ameafikia ndoto yake ya miaka mingi.

Kwa sababu yeye huugua saratani ya matiti hulazimika kwenda hospitali mara tatu kwa wiki ili kudungwa sindano mbali na kutibiwa kwa kutumia kemikali.

Anaongezea kwamba kwa muda mrefu hakuweza kusimama kwa miguu miwili na kuvaa suruali ndefu, ''nilikuwa nikitembea kwa kiti cha magurudumo''.

Anasema kwamba hakuweza kutembea na kwamba nywele alizo nazo sio nywele zake asilia.

Habari ya mwanamke huo imewagusa watu wengi ulimwenguni.

Screenshot_2017-05-13-16-16-50.png
 
kumbe uhawaba wa wanaume sio bongo tu...... ata mambele heeeh

ila sasa unaanzaje kukosa bwana wakati unapapuchi tamu kitu nyeupe ata unyoe kwa wembe kitu bado mpya

ukutane na papuchi za wabongo sasa.........mmh kwanza zimechoka kwa maisha..
mtu anachakaa mpaka papuchi

atujafika katika matumizi ya topazi sasa.....papuchi kama ngozi ya mamba duuuh
 
Duuuu ama kweli dunia inamengii lkn hata si mkubwa sana mpk kujikstia tamaa hivyooo

Au kwasabab ya huo ugonjwa akahisi atakufa mapemaa
 
Hahaha
Aki wewe.... Wanaume kweli wabaya, hamna hata wa kumfariji jamani.... Mpaka mtu ajiwowe
hahaha
wanaume wa Taiwan hawajielewi, angekuja bongo hapa akosi, na hivo mutu ya taiwan, hata iweje, sema ttzo ana kansa ya matiti, inabid wayakate yote
labda ndio kinacho kimbiza watu hiko
 
hahaha
wanaume wa Taiwan hawajielewi, angekuja bongo hapa akosi, na hivo mutu ya taiwan, hata iweje, sema ttzo ana kansa ya matiti, inabid wayakate yote
labda ndio kinacho kimbiza watu hiko
Kwanzaa za kuadimika....

Huku bongo hata akatwe nini lazima angepata mume..

Hivi tz hakuna balozi wa Taiwan, ila sema ushachelewa mtu kajiwowa bhana
 
Kwanzaa za kuadimika....

Huku bongo hata akatwe nini lazima angepata mume..

Hivi tz hakuna balozi wa Taiwan, ila sema ushachelewa mtu kajiwowa bhana
nzuri nashukuru this time hukupata hofu yyte, nilitumwa kutibiwa India na Rais.

hahaha, bongo hata angekuwa hana miguu, ila mimi kesho naenda kutafuta ubalozi wa Taiwan/China
 
nzuri nashukuru this time hukupata hofu yyte, nilitumwa kutibiwa India na Rais.

hahaha, bongo hata angekuwa hana miguu, ila mimi kesho naenda kutafuta ubalozi wa Taiwan/China
Nilikuwa na hofu ila Imani yangu iliishinda hofu.. Nikasema huko uliko Mungu akutunze tuu....

Unishtue nikusindikize kwa balozi basi
 
kumbe uhawaba wa wanaume sio bongo tu...... ata mambele heeeh

ila sasa unaanzaje kukosa bwana wakati unapapuchi tamu kitu nyeupe ata unyoe kwa wembe kitu bado mpya

ukutane na papuchi za wabongo sasa.........mmh kwanza zimechoka kwa maisha..
mtu anachakaa mpaka papuchi

atujafika katika matumizi ya topazi sasa.....papuchi kama ngozi ya mamba duuuh
Hehehe natamani nione papuchi ya dada ako
 
Back
Top Bottom