nyabubu
Member
- May 1, 2017
- 32
- 23
Habarini wadau,
Mimi ni kijana wa miaka 32, ila nina watoto watatu kwa mama wawili tofauti, mtoto wa kwanza nilizaa na mwanamke ambae alihitaji tu mtoto lakini ana maisha yake na wala haitaji kuolewa, wa pili zilitokea sababu za kifamilia na kusitisha mahusiano, watoto wapo kwa mama zao, kuhusu matunzo nawajibika mwenyewe kuwatunza.
Ila kwa sasa nahitaji mwanamke wa kuoa na nafasi hii nitafurahi zaidi kumpata binti ambae hatokuwa tayari kuzaa, ili kupunguza gharama za maisha kwa watoto wengi. Lakini pia hata ikitokea kuzaa basi wasizidi wawili ili kumudu matunzo. Mimi ni mtumishi wa umma, naishi makao makuu ya nchi. Dini yangu ni mkristo. Kwa umbile mimi ni mrefu na sio mnene wala sio mwembamba sana.
Na sifa ninazohitaji kwa mwanamke;
1. Mwenye heshima
2. Dini yoyote. Japo likifika suala la ndoa sitoweza kubadili dini
3. Asiwe mwembamba sana
4. Mtafutaji
5. Umri wowote, ila asizidi miaka 40
6. Msikivu
7. Upendo wa dhati
8. Alietendwa na kujua uchungu wa kuumizwa.
9. Mengine tutajengana
KWA MAWASILIANO WAWEZA NITUMIA UJUMBE PRIVATE SMS. PM.
KARIBUNI.
NB: IFAHAMIKE HAYA NI MAHITAJI YANGU BINAFSI WALA SI YAKO. SO PLS COMMENT KWA KUTAMBUA HILO.
ASANTE