Mzee Chapuuka
Member
- Apr 21, 2017
- 97
- 243
Habarini wakuu
Mada tajwa yahusika
Kuna tabia imeibuka miaka ya hivi karibuni ya wadada wanye mimba tena zile kubwa kabisa kuvaa vigauni vifupi huku nusu ya mapaja nje na mtumbo huo
Wengi wanavaa vigauni vyepesi vifupi mno na ikitokea upepo ukavuma basi maungo yao yatabaki wazi
Mdada mjamzito jiheshimu utandawazi isiwe kigezo cha kukaa uchi
Wadada wa mjini mliozaa nanyi mnavaa minguo mifupi na misuruali ya kubana hadi papuchi inajochora jiheshimuni ili watoto wenu nao wawaheshimu