Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

natafuta mwanaume ambaye mwenyezi mungu akijaalia aje kuwa mume na baba wa watoto wangu,mimi nina miaka 30,nina fanya kazi kwa mtu binafsi,nina kipato cha kawaida sana ila namshukuru mungu,nina...
8 Reactions
96 Replies
8K Views
Mwaka 2015 Nilirudi kutoka kutafuta maisha,sikuwa mbali sana na nyumbani nilikuwa moja kati ya nchi zinazotuzunguka... Huu ni mwaka uliokuwa na matukio mengi katika maisha yangu ukiacha mkenge...
18 Reactions
59 Replies
7K Views
MKEO AMEFARIKI. “Mkeo amefariki Msiba uko hapa nyumbani?” Denis alipokea ujumbe mfupi kwenye simu yake, kuangalia ulitoka kwa Mama yake mzazi. Nguvu zilimuishia, alikua akiongea na mteja ofisini...
10 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari za Leo wanajamii? Ikiwa leo ni siku ya "mama zetu" duniani nimeona pia tutumie siku hii kuliangalia hili swala. Kumekuwa na tabia ya baadhi ya sisi vijana hasa tuishio mijini, tukipata...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mambo yanayowaumiza wanadamu Na kuwasumbukisha duniani ni mapenzi pesa Na maradhi. Lakini ikiwa mtu atafanikiwa kutengemaa kimapenzi uwezekano Wa kutatua changamoto za kipesa Na maradhi ni mkubwa...
3 Reactions
97 Replies
19K Views
*Mangapi Kati ya haya, yanakuhusu!?*[emoji116][emoji116] 1· Laziness kills marriage 2· Suspicion kills marriage 3· Lack of trust kills marriage 4· Lack of mutual respect kills marriage 5·...
1 Reactions
4 Replies
829 Views
Naitwa morice naishi dar Natafuta mume wakunioa awe msomi na mwenyewe hofu ya mungu
12 Reactions
67 Replies
16K Views
1. Takwimu za kidunia zinaonyesha kuna idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume ,wanawake wamewazidi wanaume kwa 20%.Tukichukua ratio kila mwanaume asimame na mwanamke basi 20% ya wanawake watabaki...
8 Reactions
43 Replies
8K Views
Nimefunzwa nawe upole na uvumilivu na hatima yake nimeambulia uoga na udhaifu kwa kua hukua STRONG hasa mbele ya Baba! Ila kweli Nakupenda Mama!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii nimeishuhudia sana tu na nikawa hadi najiuliza maswali mengi na mpaka hivi sasa nimekosa majibu. Hapa jirani kabisa nakaa na Familia kama nne ( 4 ) hivi na hawa Wadada ni ' Masistaa Du ' hasa...
6 Reactions
107 Replies
14K Views
Mwanamke, je umeshawahi kushitukizwa mtoko (dating) na mwanaume wakati wala ulikuwa huna mpango wa kutoka siku hiyo? Lakini pia umeshawahi kujikuta ukiwa unamvutia kila mwanaume unayekutana naye...
16 Reactions
70 Replies
24K Views
Huu mtindo naona unakuja kwa kasi ya ajabu sana yaani ndiyo style zao siku hizi hadi unakuta anajisahau wiki unakuta una hamu anakuambia yupo blid unakausha ukimaliza wiki moja anamwomba gem...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Wadau, Hili jambo wamekuwa wakikumbana nalo watu wengi hasa waajiriwa wa Serikalini. Mimi kwangu nisingependa linitokee na ikitokea nadhani itabidi achague moja ndoa au awe girlfriend(mchepuko)...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ikitokea kuwa na pesa, magari, majumba Kwa zaidi ya kimoja! Vyote hivyo waweza kuazimisha au kugawa Kwa rafiki au yeyote Kwa sababu zozote bali sio Mke au mpezio hata wawe zaidi ya wanne. Ni Kwa...
0 Reactions
6 Replies
924 Views
Habari gani wana jf. Imani yangu wote ni wazima na ni jambo la kumshukuru Mungu. Ndugu zangu niende kwenye maada moja kwa moja: Kuna binti mmoja nilikuwa na mahusiano nae takribani miaka 4 hivi...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Wanajf,katika kizazi hiki cha sasa,ukipata binti na mkawa na mahusiano ya kimapenzi.Ni bora umwambie ukwel kuhusu maisha yako ya nyuma au kumwongopea maana nltaka kudate na girl,nlvyomwambia...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii story nimekutana nayo sehemu ingekuwa wewe ungeweza kumwambia rafiki yako? Jaman mm nina rafiki zangu tupo wa3 uwa tunashirikishana mambo yetu ya kimaisha ushauri na kadhalika. mwaka jana...
10 Reactions
96 Replies
7K Views
Ndugu wanaJF habarini, Niko na mchumba wangu ambaye kiukweli tumedumu kwa miaka kadhaa mpaka pale ambapo alijaribu kutikisa na mimi nikachukulia serious, nikavuta mchuma mwingine lakini baada ya...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
✍️
3 Reactions
174 Replies
20K Views
Habarii,katika kitu kimenishinda ni hiki kukwichi kwichi bila music yani kukiwa kimya mfano umeme umekata huwa inaniwia vigumu sana katika hili tendo sifurahii hata kidogo napenda wakati wa kwichi...
5 Reactions
76 Replies
10K Views
Back
Top Bottom