Kuna tofauti kati ya naomba unisaidie na naomba unikopeshe?

super model

JF-Expert Member
May 1, 2017
307
321
Jamani kuna swala ambalo linaletaga utata hasa kwa watu waliopo kwenye mahusiano walioshibana.

Ni hivi, kwa mfano mtu wako wa karibu kakuambia naomba niazime pesa nitakurudishia, baadae ukaja kumdai na kumwambia nilipe deni langu nililokukopesha, kuna ubaya wowote? Coz kuna shoga yangu analalamika kanuniwa na mpenzi wake kisa kadai deni lake.

Hebu toeni maoni yenu, kwenu mnalichukuliaje pale unapomkopesha mtu wako wa karibu?
 
Back
Top Bottom