Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wakuu, Baada ya salamu ni wape pole na majukumu yenu,mimi ni mwanaume nina miaka 40 Nina watoto wawili (mama tofauti) kwa sasa niko single na nnaishi Zanzibar (CHRISTIAN) Watoto wako mmoja...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa kuwa Moja ya kazi za mitandao ni kutuunganisha watu wa aina tofauti tofauti basi nami nitumie Hii nafasi adhimu nilyonayo Natafuta msichana Mzuri wa sura pamoja na tabia ili niweze kumfanya...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Kama wanawake wanaotafuta wanaume kwenye mitandao tunasema Ni Malaya wanajiuza je wanaume wanaotafuta wasichana kwenye mitandao na wao tuwaitaje
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Hili ni swali nauliza na kama hivi ninavyoelewa sivyo basi mnisaidie kulijibu hili swali Ninachojua mimi ukiacha yote yanayosemwa kama kila mmoja hatimizi wajibu wake basi hakuna mapenzi hapo...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
WhatsApp the great Moja ya sehemu ambamo watu wameingia cha kike ni kwenye magroup ya WhatsApp wapendwa wangu. Yaani huko kuna wakaka ni Mafisi wao kazi yao ni kuwala tu wadada za watu. Na kuna...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
si jambo la kificho kwamba mwili wa mwanaume umeumbiwa tamaa kwa mwanamke hasa aliyejaziajazia maeneo fulani ya mwili.... Tathmini ya taama ya mwanaume huanzia mbele usoni Kisha kifuani na...
8 Reactions
38 Replies
4K Views
Watu wengi hudhani Na ndivyo tulivyoaminishwa katika magazeti,majalida Na runinga kuwa wanawake humpenda Na kuvutiwa Na mwanaume mwenye pesa,sura nzuri umaarufu au mwili Wa kimazoezi. Pia...
2 Reactions
69 Replies
10K Views
Hello guys! Siku chache zilizopita tulisafiri kikazi pamoja na wafanyakazi wenzangu kwenda mkoani Dodoma kuhudhuria training flani. Sasa kuna binti ambae mimi sikua na mazoea nae wala, siku ya...
1 Reactions
90 Replies
10K Views
Habari Humu jukwaani kuna baadhi ya memba wanaletaka mabandiko yao. Mengine yanaonyesha maisha ya mapenzi waliyopitia n.k Kuna memba humu kazi yao ni kukosoa as if wao foolish age hawajawahi...
0 Reactions
12 Replies
970 Views
Samahan wanaJf wenzangu ,kuna kitu kimekuwa kikisumbua akrini mwangu,naomba kujua iwapo msichana anayesoma QT au anayereset akilala na mwanaume na ikajulikana ,kuna kesi?
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Tunajua katika kipengere hiki hatutoki mmetukaba haswa hatuchomoki mnatuchuna Hasa na sisi hatuna namna kwa sababu ndio hivyo tena tushaamua kufa kidondani,ila mnasikitisha sana! Inawezekana vipi...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Mrejesho : Nashukuru kwa mlionidhihaki na maneno na matusi yenu but mi sio aina hiyo ya wasichana mnaodhani niliweka vigezo vile kupima ni aina gani ya wanaume waliopo Tanzania but nimegundua...
16 Reactions
308 Replies
31K Views
Hivi karibuni jamaa mmoja alisafiri kikazi nje ya Dar es Salaam, jamaa alikaa huko siku 20 hivi. Akiwa kaacha familia yake Dar es Salaam. Siku 20 zilipotimu akarejea kwake kwa watoto na mkewe...
2 Reactions
44 Replies
8K Views
Sifa: -Awe mchaga anayeishi Dar es Salaam -Umri miaka 30-40 -Dini Mkristo Mlutheri -Awe anajishughulisha au muajiriwa. -Awe mweupe asiwe mrefu sana size ya kati. Sifa zangu: Ninafanya kazi Dar...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Helloh wanaume wenzangu, natumaini wazima wakuu, Mimi binafsi huwa nashangaa sana ninapoona mwanaume analalamika tena kwa sauti nyororo na machozi mengi kwelikweli eti "nimeumizwa na mpenzi...
7 Reactions
36 Replies
4K Views
Wadau, Mimi ni mwanaume wa miaka 42 sasa. Tatizo langu kubwa kiukweli ni kushindwa kuoa. Kila ninapowaza kuoa naghairi sababu kila nikiwaza nilivyokuwa natembea na wake za watu naona nami...
11 Reactions
326 Replies
42K Views
Mnatushauri nin cc watchers hususan tunaotaka kuingia kweny ndoa? Not only waliwazid umri tu even mliosawa nao au mlipwapita kidogo kidogo pia eken uhalisia hadharani.. me naskiaga wanawake wa...
7 Reactions
158 Replies
19K Views
unapata sms inayokuamsha asubuhi kutoka kwenye ndoto nzuri " honey mi nadaiwa naomba uniazime sh laki moja tuu....luv u so much mwaaah" utachukua uamuzi gani wa busara , ,
0 Reactions
108 Replies
84K Views
Kwa kweli mwenzenu yamenifika hapaa, yaan nimekosa hadi usingizi, niko kitandan naperuz simu yangu, ghafla nikasema nichungulie kunani instagram, ghafla naona picha ya harusi ya alokuwa mchumba...
3 Reactions
89 Replies
13K Views
Habari za usiku wana jamvi Rejea kichwa cha habari Nmekuwa na uume mkubwa sana unakaribia nchi 10 ambayo na vigum kupata mwanamke wote wananiacha wakidai wanaumia wakati wa kujamiana kwhyo...
2 Reactions
91 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…