Single Lady nakutafuta

Sixpack 44

Member
May 4, 2017
33
26
Habari wakuu,
Baada ya salamu ni wape pole na majukumu yenu,mimi ni mwanaume nina miaka 40 Nina watoto wawili (mama tofauti) kwa sasa niko single na nnaishi Zanzibar (CHRISTIAN) Watoto wako mmoja Dar mmoja Arusha wote kwa mama zao (maswali PM)

The lady that I am looking for awe mkazi wa zanzibar(must)as distance love imenicost.
.Awe ana age from 30 yrs na kuendelea not below(strictly)
.Kama ana mtoto si mbaya mana hata mimi nnao
.Sina mpango wa kufunga ndoa naamini ndoa ni matokeo priority kubwa ni future ya watoto ndio niliyonayo(linazungumzika)
.Awe tayari kupima afya
.Elimu sio issue kwangu ila awe anaweza kuchanganua mambo awe mtu anae heshimu feelings za mwingine japo form four awe ameichungulia
.Asiwe mnene tafadhali umbo la kawaida I can understand
.kwa mwenye uhitaji tu pls PM
.kwa mwenye kejeli,dharau,utoto utoto na ushamba unaweza kutupia comment yako kwenye uzi mojamoja ili upate sifa (in mapovu voice) otherwise nawakilisha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom