gilldenu
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 2,915
- 3,019
Mdogo wenu apa nna tatizo nisiwachoshe sana kwa maelezo meeeengi....
Iko ivi mi nna mpenzi tuna kama miaka miwili tangu tuwe pamoja....sasa uyu ndugu me nimetokea kumpenda kupita maelezo yan nampenda sana tatizo katika haya mahusiano ni mtindo wa kuachana na kuludiana ndo mchezo uo nahsi kagundua kuwa nimekufa nimeoza kwake.
Sasa nashindwa kumwacha nashindwa kumove on kila nkijitahidi utakuta mimi nashindwa kabisa kumsahau na kuachana nae....
Nkisema nisipokee simu yake siwezi ntapokea tu jaman msaada wa kumtoa uyu mtu moyoni nisaidieni mdogo wenu...