Nampenda sana hadi nashindwa kufanya kazi

peter chula

Senior Member
Jun 8, 2013
123
68
Wanajamvi,

Naomba ushauri,

Kuna dada nilikuwa nampenda sana sasa tukaachana akapata mtu mwingine na mimi nikatafuta mwingine ambaye nimemuoa sasa huyu mpya ananipenda sana na kunidekeza sana hali inayonifanya nimpende sana kiasi cha kutotaka kubanduka sasa inanihasili kwenye mishe zangu za kutafuta nifanye nini ili nifanye mishe za pesa.
 
Una miaka mingapi?

Wanajavi naomba ushauri kuna dada nilikuwa nampenda sana sasa tukaachana akapata mtu mwingine na mm nikatafuta mwingine ambaye nimemuoa sasa huyu mpya ananipenda sana na kunidekeza sana hali inayonifanya nimpende sana kiasi cha kutotaka kubanduka sasa inanihasiri kwenye mishe zangu za kutafuta nifanye nn ili nifanye mishe za pesa
 
ulitaka ushauriwe jinsi ya kupata mishe za pesa,
ulitaka ushauriwe upunguze kumpenda,
au ulitaka ushauriwe kipi hasa, hebu weka wazi mpendwa.
 
Wanajamvi,

Naomba ushauri,

Kuna dada nilikuwa nampenda sana sasa tukaachana akapata mtu mwingine na mimi nikatafuta mwingine ambaye nimemuoa sasa huyu mpya ananipenda sana na kunidekeza sana hali inayonifanya nimpende sana kiasi cha kutotaka kubanduka sasa inanihasili kwenye mishe zangu za kutafuta nifanye nini ili nifanye mishe za pesa.

Rudi swax ukalime matikiti tu, kazi yenyewe huna
 
Kila jambo lina majira na wakati wake, muda wa kazi Fanya kazi kweli kweli muda wa kupumzika hivyo hivyo , muda wa kuwa na mwenzi basi utumie vyema, ukichanganya utaharibu
 
Wanajamvi,

Naomba ushauri,

Kuna dada nilikuwa nampenda sana sasa tukaachana akapata mtu mwingine na mimi nikatafuta mwingine ambaye nimemuoa sasa huyu mpya ananipenda sana na kunidekeza sana hali inayonifanya nimpende sana kiasi cha kutotaka kubanduka sasa inanihasili kwenye mishe zangu za kutafuta nifanye nini ili nifanye mishe za pesa.
Fanya kazi bro,achana na wanawake.
 
Back
Top Bottom