Msaada:Nani aliye mpaka mafuta msanii Ben paul

alishasema yale mafuta is in form of spray unajipulizia mwenyewe baadae inayeyuka na kusambaa mwili mzima
 
Leo nimeangalia E-News ya EATV kaulizwa hilo swali akajibu eti kuna body spray fulani hivi kajipulizia ndio maana ikawa vile kama amepakwa mafuta, niliishia kucheka tu
 
Huyu bwana alishawahi jiapiza haji toboa masikio wala kuvaa hereni, ila juzi nimeona amevaa hereni!
Kweli kuweka akiba ya maneno ni kitu kizuri
 
Back
Top Bottom