Looking for 'Senorita' that I will later call her 'Senora Mimi'

Wadada wanaodhani kuwa wanaweza wakanipenda kura yenu hapa!

  • Ndiyo

    Votes: 3 75.0%
  • Hapana

    Votes: 1 25.0%
  • Nafikiria

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    4

Outlawed

Senior Member
May 4, 2017
157
179
Jamani kama thread inavyojieleza...I am looking for 'my beautiful Miss' that i will later make her 'my Wifey'! Jamani wadada changamkieni fursa hii, ni adimu sana kumpata kijana kama mimi, nakuahidi hutajuta kunifahamu.

Ofcourse nafahamu beauty lies on the eyes of the beholder! and more also beauty is only a skin deep! yes lakini atleast basi uwe una mwonekano wakuridhisha! muhimu uwe tu uwe msichana unayejielewa na kujiheshimu pia...elimu yako kwangu doesn't matter ingawa basi uwe umeenda shule kidogo minimum ufike form four. Mimi elimu yangu ni zaidi ya degree moja. Dini mimi ni Mkristo ila dini yako its immaterial kwangu ila ukiwa mkristo vema sana ukiwa muislamu vema pia ukiwa unaabudu jiwe vema..nitajaribu kukufundisha habari njema za Yesu ukinielewa poa tusipoelewana ntaheshimu pia imani yako.

Seriously wanasemaga ninyi wasichana ni vigumu kumuanza mvulana ila napenda ujiamini na uni PM hata kunipa 'Hi' from there mimi ntajiongeza na maongezi yetu kuwa mubashara!!. Mimi nina maisha yangu najitegemea nina kazi na biashara zangu nadhani hatutashindwana kwenye safari hii ya maisha na katika mambo ya 'la mujer de mi vida'.

You don't have to hesitate yaani umalizapo kusoma uzi huu zama inbox talk your gentleman here!! and let us prove wrong the world that watu wanakutana popote bana...kama ilivyo kwenye daladala and so is kwenye social media kama JF. Mengi tutaongea INBOX..na washkaji msinibeze mnyamwezi nimefunguka kivyangu na nawaahidi kuwapa mrejesho kwa mtoto nitayewin penzi lake and officialy kuwa couple.!!!

NB: Nimefungua uzi wangu huu kwa machungu maana kuna bi dada hapa aliweka uzi wake anatafuta man mimi nikatiririka nae inbox ila nashangaa bila sababu yeyote nikamtumia picha anadai kuwa mimi ni mtu wawili tofauti akaniblock ..nimebaki nikaduwaa amaepatwa na nini, mimi ni mimi mimi, picha ni zangu nimekuwaje wawili tofauti!!?

Hilo swali halihitaji jibu, wadada turudi kwenye mada kuu, okay nasubiri massive influx ya jumbe zenu inbox!! Asanteni sana.

Wasalaam.
 
Kama unataka mapenzi ya kitamthili kama ulivyosema "LA mujer De mi Vida" haina shida Antonio sitamimdi kuwa baborta wako senora!!!! Aaaaiii
hahaha yo estoy muy contento mi senorita!! barbarita nimekukubali balaa!! basi tuangalie gurudumu linavyoenda tulish
sasa kura za nini?
maoni yako tu baada ya maongezi yetu INBOX hahaha
 
Jamani kama thread inavyojieleza...I am looking for 'my beautiful Miss' that i will later make her 'my Wifey'! Jamani wadada changamkieni fursa hii, ni adimu sana kumpata kijana kama mimi, nakuahidi hutajuta kunifahamu.

Ofcourse nafahamu beauty lies on the eyes of the beholder! and more also beauty is only a skin deep! yes lakini atleast basi uwe una mwonekano wakuridhisha! muhimu uwe tu uwe msichana unayejielewa na kujiheshimu pia...elimu yako kwangu doesn't matter ingawa basi uwe umeenda shule kidogo minimum ufike form four. Mimi elimu yangu ni zaidi ya degree moja. Dini mimi ni Mkristo ila dini yako its immaterial kwangu ila ukiwa mkristo vema sana ukiwa muislamu vema pia ukiwa unaabudu jiwe vema..nitajaribu kukufundisha habari njema za Yesu ukinielewa poa tusipoelewana ntaheshimu pia imani yako.

Seriously wanasemaga ninyi wasichana ni vigumu kumuanza mvulana ila napenda ujiamini na uni PM hata kunipa 'Hi' from there mimi ntajiongeza na maongezi yetu kuwa mubashara!!. Mimi nina maisha yangu najitegemea nina kazi na biashara zangu nadhani hatutashindwana kwenye safari hii ya maisha na katika mambo ya 'la mujer de mi vida'.

You don't have to hesitate yaani umalizapo kusoma uzi huu zama inbox talk your gentleman here!! and let us prove wrong the world that watu wanakutana popote bana...kama ilivyo kwenye daladala and so is kwenye social media kama JF. Mengi tutaongea INBOX..na washkaji msinibeze mnyamwezi nimefunguka kivyangu na nawaahidi kuwapa mrejesho kwa mtoto nitayewin penzi lake and officialy kuwa couple.!!!

NB: Nimefungua uzi wangu huu kwa machungu maana kuna bi dada hapa aliweka uzi wake anatafuta man mimi nikatiririka nae inbox ila nashangaa bila sababu yeyote nikamtumia picha anadai kuwa mimi ni mtu wawili tofauti akaniblock ..nimebaki nikaduwaa amaepatwa na nini, mimi ni mimi mimi, picha ni zangu nimekuwaje wawili tofauti!!?

Hilo swali halihitaji jibu, wadada turudi kwenye mada kuu, okay nasubiri massive influx ya jumbe zenu inbox!! Asanteni sana.

Wasalaam.
Ktk Uzi ambao umenibariki cku ya Leo ni huu,ckutamani hata uishe MKUU.Ila ntakuja kujaribu bahati huko mji wa PM
 
hahahahaha and thankyou very much dope girl natumai hautani dope kwa PM..nafuahi kama nimekufurahisha!! hahhahaha
 
Wasichana wa mjini wanavyopenda imagination za hivi watakuja wengi sana
 
Its not hating mkuu we sema tu unataka mdada simpl n clear syo unaanza kubrag abt this n that... Watakuja tu sababu everybod loves to be in love!
stop hating ! usinipangie cha kuongea!! hahaha
 
Twambie wataka wadada wa umri gani tafadhali, tusije pm na kukutana na serengeti boy ilihali twataka kibabu,au tukutane na kibabu ilihali twataka serengeti boy!
 
Mimi nina maisha yangu najitegemea nina kazi na biashara zangu nadhani hatutashindwana kwenye safari hii ya maisha na katika mambo ya 'la mujer de mi vida'.

Umenikumbisha mbali na hii tamthiliya ya 'la mujer de mi vida'
 
Back
Top Bottom