galatia
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 342
- 828
Habari wana MMU?
Nawaandikia nyote kuwaeleza machache juu ya tabia zetu zinavyoweza kuathiri thamani yetu jukwaani hapa na hata kwenye jamii yetu.
Kuna watu huwa wanadhani kujisifia kwa mambo yakijinga kutawafanya waonekane wajanja kumbe wanajiondolea utu wao kabisa.
Tujaribuni kuwa wastaarabu vinginevyo tutakuwa vituko mbele ya jamii.