Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 804
Habari zenu wana Jf,
Nimepata mchumba bar na tunapenda sana,lakini nilipolifikisha kwenye familia wamewasha moto mkali ambao nashindwa kuuzima.Hivi mi nawaulizeni nyie wazazi mnataka wanawake kama hao ambao kwenu hamuwataki mnawaita malaya mnataka waolewe na nani?basi hata kama akiwa ni binti yako basi usikubali aolewe sababu ni Malaya.
Imeniuma sana,sio kwamba nawatetea wanawake.Ninachokitaka Mimi ni mapenzi ya dhati.