kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,098
Tangu nihamie tabata bima kila cku nakumbana na changamoto ya kuvunj shingo kusindikiza macho ya wadada wa watu wazuri.si reli,aroma,shule,bima,mawenzi,kimanga,magenge,barakuda,segerea,kinyerezi wala chang'ombe huku kumesheheni visura.ktk hili jiji kuna sehemu yenye watoto wazuri zaidi ya tabata kweli??...kwa bata ndo usiseme yaan watu wanatoka sehemu mbalimbali za jiji kuja forty forty,the great,KP,Kwetu pazuri,toroka uje, n.k.....cjawah juta kukaa mitaa hii