wasalaam wanajamvi, miezi kadhaa imepita tangu nije hapa. mpenzi wangu alichepuka akanisahau,akanitupa kule. kiukweli niliumia sana, ilifika kipindi mpaka nilikuwa naugua yaani, ndugu msomaji huwezi kuamini kila nikimkumbuka nahisi nyongo inataka kunitoka.
kilichonileta hapa leo, kwa sasa nimeanza kupona majeraha, nimeanza kuzoea maisha bila yeye, cha kushangaza ameanza kurudi sasa. kunitafuta mara kwa mara, kunisalimia , kuna kipindi najikuta nawaza sijui niendelee kumtawanya tu halafu nimwache njia panda ( yaani najifanya nimerudi kiukwel ukweli akikolea na kuharibu kule ndo namtupa kule) , Au nawaza nimjibu vibaya ili imuume mpaka baasi...., najikuta nipo njia panda kuamua nimfanye nn huyu
Mpenzi wangu amechepuka, natamani kumkomesha