Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
Wadau naomba msaada,
Kiukweli sipendi mpenzi wangu akizama chumvini, sababu kuu ni kuwa akishazama anataka anikiss mdomoni. Aisee najisikia vibaya, kuna wakati nilimwambia sipendi ikawa ugomvi mpaka akakata mawasilino, nikamwomba msamaha ili kujua shida ni nini? Akaniambia nambania kuzama, yaani kuzama ndio ugonjwa wake.
Nakerwa na hii hali wanajamii forum naomba msaada wa mawazo, nifanyeje ili aache.