Habarini Jf.
Swali kwa wadada..
Kwamfano akatokea mtu unayempenda au anaye meet requirements unazozitaka akakutongoza.
Wewe ili usionekane kicheche au cheap ukaamua kumkataa ilimradi akutongoze...
Yani huyu duu wng hamalizi viroja, yani ikitokezea kugombana tu hata kwa kuhitilafiana tu kauli bac huniambia "tuachane na nitapata mwenye kheir na mimi" nikumuuliza kosa kubwa la kufanya tuachane...
Ni muda kidogo toka nitumie vyombo vya usafiri wa umma yaan daladala. Niliacha kutumia daladala toka Decemba 2014 baada ya kununua gari la kunifanikishia mishe mjini aina ya Passo.
Hii gari...
Wanawake huwa wanawajaribu wanaume kwa majaribu fulani ili waweze kujua kama wanaume hao wanafaa kuishi nao, bila ya kupima au kufanyia utafiti kama hayo majaribu wanayoyatumia kama yapo ndani ya...
Hiki ndicho ninachokiona, ni kwamba hawajiamini kabisa mimi najitoa kwa maana najiamini, mambo wanayoyafanya yanatia aibu ni kama vile Watoto wadogo!
Mtu akiwa na Mwanamke anafikiri ni mali yake...
Hii dunia inamaajabu sana
kunawengine wanayatamani na kuyalilia mapenzi(kupenda),na kunakundi jingine hawataki hata kusikia neno nakupenda
Kwangu mimi nilishaathirika na kuamini kutokupenda...
Katika mahusiano, kila mmoja huwa na malengo ambayo hudhani yatakuwa nafaida kwake na kwa mpenzi wake katika maisha yao. Kila mmoja hufurahi kama malengo yake yatatimia ndani ya mahusiano aliyopo...
Wanawake wengi huwa hawapendi kuvaa pete baada ya ndoa, aidha kwa kuzificha kwenye pochi au kuziacha kabisa nyumbani. Kigezo huwa eti kusahau. Kusahau kila siku?
Kabla ya ndoa wanawake huwa...
Hakuna kitu kinavutia kama nguo za ndani, hasa zikimechishwa. Sasa unakuta Bra nyeusi chupi nyeupe, mtu unakuwa kama Black and White.
Wadada make sure unapata vitu vinavyo fanana vya ndani. Sio...
Leo ninekaa likaja wazo hivi kwanini walimu wa kike wa sekondari na nurse wakike Wengi ukionana nao wana watoto tu ila baba hawapo yani baba walitia mimba badae wakaingia mitini wakaacha mimba na...
Wakuu salaam,
Kuna msichana nilidate nae mwaka Jana tumeishi kwa miezi kadhaa akapata ujauzito akang'ang'ania autoe, nikamwambia kama kutoatoa kivyako mimi usinishirikishe
baada ya kutoa akakata...
habari za wadau wa fikra oevu,
Nna kaschana kangu bhana tulianza uhusiano c kitambo sana, sasa jana wakati tukiwa ndanj tunastorisha nikawa nimechukua simu yangu naupdate dp na dm za whatsup...
Wazee naombeni mbinu ya kumteka mwanamke hisia zake na je mwanaume anafanyaje ili awe romantic kwa mwanamke na kuweza kutunza hisia za mwanamke
Mbinu niliyokua natumia mimi
nikiwa kwenye group...
Habari zenu,
Maisha ni safari ndefu sana na inamilima na mabonde. Kwa upande wangu mimi ni mwamamke umri miaka 43 nina watoto. Katika maisha haya nimepitia mambo mengi sana na nimejifunza mengi...
Ninae mchumba toka tanga mdigo yupo tanga kwao nami nipo mwanza, mipango yetu ya kuona bado ipo jikoni maana mimi ndo namalizia mwaka wangu wa mwisho wa masomo. Toka tuwe katika mahusiano...
Wakuu habari
Leo natumia platform hii ndogo kukiri kuwa nimekuwa addicted na wake za watu, yaani nikimuona mke wa mtu maeneo ambayo ya kula bata au anywhere ambapo nitaweza kuinteract nae basi...
Nimeliona hili muda mrefu na mahali pengi na hili sakata la Zari kuhusu mali ndo limenikumbusha nkaona nishee nanyi.
Imezoeleka wanawake wengi walio kwenye ndoa au wanaoishi bila ndoa na wamezaa...
Habari wana JF Ramadhani Kareem,
Nashangazwa sana kwani asilimia kubwa ya wanawake aina huwa hawapo katika ndoa japo wapo katika mahusiano na wengine wana watoto kabisa na kama yupo anaeishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.