Emoj
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 838
- 1,302
Habari wapendwa. Natumai weekend inakwenda vizuri.
Kuna vitu vingi mwanamke na mwanaume wakiwa kama wanandoa yawapasa watekeleze ili waweze kufurahia ndoa yao.Leo napenda kushare nanyi haka ka Tip ka Games. Michezo kama Ludo, chess, karata,etc mkitafuta game moja mkawa mnacheza pamoja hakika nakuhakikishia kugombana ni ngumu sana .kucheza pamoja inawaleta close, halafu mnakuwa friends kwelikweli na pia u enjoy together kuna hali nzuri sana inakuwepo.Me and my husband huwa tukiwa na muda mdogo tunacheza chess au Ludo. inakuwa moment nzuri sana tunaenjoy maisha ya ndoa.basi pale mnabishana bishana kimahaba au pale mnafanya move unakosea but unamtazama kwa macho ya huruma unaomba urudie kucheza tena basi raha kwelikweli.Hamuwezi chokana aki.Mwanandoa kama ulikuwa huchezi any game na mwenzio pls nenda kajaribu kutafuta game mnaweza kucheza wote( hata kama mwenzio hajui mfundishe) then uje kunipa mrejesho hapa.Games zinaleta ucloseness flani.
NDOA NI TAMU.