Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Hiki ndicho ninachokiona, ni kwamba hawajiamini kabisa mimi najitoa kwa maana najiamini, mambo wanayoyafanya yanatia aibu ni kama vile Watoto wadogo!
Mtu akiwa na Mwanamke anafikiri ni mali yake, na siku Mwanamke akimuacha na kupata mwingine hawezi kumuacha aende atabaki kumuandama na kumfuata fuata huyo Mwanamke na kutaka kujua anafanya nini yuko nani, maisha yake yakoje, siku akisikia yule Mwanamke kapata tatizo anafurahia kwamba laana ya kumuacha imemfika, sasa huu ni utoto wa hali ya juu, ni ajabu mtu anaachana na Mwanamke miaka 5 wengine mpka 10 lkn bado anaamini ni Mwanamke wake na kutwa kumuombea mabaya!
Na hili utaliona kwa Flora Mbasha, Ufo Saro, na sasa Zari, Wanaume wazima wanaacha kazi zao kuingilia maisha ya Zari, ni kwamba hawana furaha, hawakutaka na hawapendi Dimond kuwa na huyo Mwanamke, sasa unajiuliza nyie kinawahusu nini?
Angalia JF imejaa posti za Zari na hicho kifo na wanaojaza post hapa khs Zari siyo Wanawake bali ni Wanaume!
Wanaume wa Tanzania badilikeni ili mstahili kuitwa Wanaume, Mwanamke mkiwa pamoja mkaja kuachana kubali na muache aende, na wewe angalia maisha yako achaneni na mambo ujinga sijui laana na huo upuuzi!
Poleni sana Wanawake wa Tanzania yetu, kwa kulazimishwa kuishi na Wanaume ambao wako insecure, nimekutana na Wanawake wengi wa Kitanzania ambao hawataki kuolewa na Wanaume wa Tanzania kwa sababu hiyo, ni kwamba hatujiamini hivyo tunapoteza mvuto kwa Wanawake na ndiyo maana wanawapiga chini kila siku, ...