Msaada mbinu kabambe za kuteka hisia za bint,mwanamke umbebe mzima mzima bila kujali umri

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
726
475
Wazee naombeni mbinu ya kumteka mwanamke hisia zake na je mwanaume anafanyaje ili awe romantic kwa mwanamke na kuweza kutunza hisia za mwanamke
Mbinu niliyokua natumia mimi
nikiwa kwenye group huwa najiweka kuwa tofauti na wenzangu kama ni waongeaji au waropokaji huku bint wanaemshobokea mm nampuuza hatimae hujilengesha mwenyewe napiga mechi ya mbali natulia kimya najifuta mdomo nisijulikane nimekula naombeni mbinu nyingine nimegundua hii ni ya kishamba
msaada wa 1 ni kuwateka mabinti wanaochipukia katika mapenzi
msaada wa 2 masistaduu
msaada wa 3 wamama watu wazima wenye pesa
msaada wa 4 wadada wa makamo
msaada wa 5 wadada wenye elimu ya juu na kazi nzuri
KARIBUNI WAJUZI WA MAMBO
 
Acha tu tabia za kibwegebwege kama kuwasifia na kuwababaikia warembo ukiwaona

jifunze kuwa na subira

usiende kwa pupa..
jiamini..jione special

anzia hapo
 
The boss ,, Saikolojia inaonyesha Mwanamke nikiumbe ambaye Huvutwa na insta attraction ya Mwanamme ,,tofauti na sisi wanaume huwa tunavutiwa na Umbo kwanza ....Mwanamke huitaji kujua wewe ni mwanamme Wa aina gani ??? Nimwanamme Wa kujiamin?? Nimwanamme unayeweza kumfanya kua salama ,, nimwanamme mwenye malengo ??? Je wewe nimwanamme ambaye unapambana namaisha?? Unaweza kua huna kitu ,,Lkn je wewe nimwanamme ambaye siku moja mambo yatakua mazuri ??? Haya ndio maswali ambayo Mwanamke aliyekomaa lazima atakua akijiuliza kimoyomoyo ,,, Sasa basi kwa wakati unaongea naye nilazima uhakikishe Unampa majibu ya haya maswali japokua hatokuliza ..... The Boss ,, wanawake wengi wanapenda mwanamme anayejiamin,, charming,, fan,, sexual ,,socially intelligent ,,, yaan ukiweza kumtikisa primary insta attraction yake aiseee unamchukua moja kwa moja ,, no matter ana mtu au yupo singo ,,hapa ndo utambeba . other wise kaka utakalis kuvaa nguo mpya kila siku ..kila stail ya nywele ,, viatu ,, mipesa ...nakujikuta unapoteza tuuuuuu sansana utawapata wanawake Wa muda mfupi wale ambao husema "" yule mkaka ni handsome,, anajipenda nataman nisex naye "" na hawa ni waxhache nawengi wao wanasifa za akina gigi ,wema,, yaan ukifulia wanaamsha lkn kwa Mwanamke unayetaka kumshinda nilazima ufanye hayo hapo juu,, no matter umesoma au lah,, unapesa au lah .... Naomba ufanye ivo alafu utanipa majibu mkuu...
 
yote hayo

yote hayo bila nguvu umekwisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom