Kwanini wanawake wa aina hii hawaolewi?

Dr leader

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
797
896
Habari wana JF Ramadhani Kareem,

Nashangazwa sana kwani asilimia kubwa ya wanawake aina huwa hawapo katika ndoa japo wapo katika mahusiano na wengine wana watoto kabisa na kama yupo anaeishi na mwanaume ni wanaishi tu pasi na ndoa je ni nini sababu?

Hizi ndo aina hizo;
Wanawake wasomi
Manesi
Maaskari
Wanajeshi
Dereva
Machine operated
Wanasiana
Wanamiziki
N.k. na kama akiolewa hachukui mda kuachika.
 
Nilishangaa nilipoenda shule moja nikakuta kati ya walimu wanawake 15 waliolewa ni wawili tu

Wengi wameishiwa kuzalishwa tu. nilijiuliza sana .watu sijui wanawachukuliaje wanawake walioenda shule

Tatizo la wanawake wasomi Kujifanya wajuaji kwenye kila kitu.Kukusoa mbele za watu haoni haja anakuabisha mchana kweupe hasa kwa watu kama sisi tulioshia la 2 B
 
Back
Top Bottom