Wadada Bra na Chupi vikifanana huongeza mvuto

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Jul 11, 2013
2,674
2,801
Hakuna kitu kinavutia kama nguo za ndani, hasa zikimechishwa. Sasa unakuta Bra nyeusi chupi nyeupe, mtu unakuwa kama Black and White.

Wadada make sure unapata vitu vinavyo fanana vya ndani. Sio kumechisha Viatu, handbags na rangi za nguo peke yake. Ndani ni muhimu kuliko nje. Anza leo, kama Mume hajapagawa Thank me later.
 
Hakuna mnyama duniani mwenye mvuto kama Punda milia. Hii ni kwasababu kajua kupangilia rangi zake. Mimi nasema wadada gongeni rangi ambazo zinawapendezesha machoni, mambo ya kuvaa nguo za rangi 1 mwanzo mwisho mmekuwa fire fighters?!

Yani uvae nyeupe tupuuu, umekuwa traffic?!
 
Pundamilia na twiga, huwa natan hips zao
 
Hakuna kitu kinavutia kama nguo za ndani, hasa zikimechishwa. Sasa unakuta Bra nyeusi chupi nyeupe, mtu unakuwa kama Black and White.

Wadada make sure unapata vitu vinavyo fanana vya ndani. Sio kumechisha Viatu, handbags na rangi za nguo peke yake. Ndani ni muhimu kuliko nje. Anza leo, kama Mume hajapagawa Thank me later.
Tena kwa wale weusi wavae pink, na weupe wavae nyeusi huwa ni burudani!
 
Hakuna mdada asiyependa kwenda sambamba na mpenzi/mume wake anavyotaka, tatizo ni pesa mpe pesa alafu mweleze mama Mimi napenda hivi hivi na vile,sure atafanya ili zaidi kukufurahisha zaidi. Sasa kama hela hamtoi au mnatoa kwa Mawazo ndio wataendelea kuishia Tandika,Tandale,ilala,ubungo na manzese kuchagua sagula sagula mabaki ya Bra zilizovaliwa ulaya kitu ambacho hata sisi wanawake hatupendi
 
Hakuna mnyama duniani mwenye mvuto kama Punda milia. Hii ni kwasababu kajua kupangilia rangi zake. Mimi nasema wadada gongeni rangi ambazo zinawapendezesha machoni, mambo ya kuvaa nguo za rangi 1 mwanzo mwisho mmekuwa fire fighters?!

Yani uvae nyeupe tupuuu, umekuwa traffic?!

eti fire fighters
 
Hakuna mdada asiyependa kwenda sambamba na mpenzi/mume wake anavyotaka, tatizo ni pesa mpe pesa alafu mweleze mama Mimi napenda hivi hivi na vile,sure atafanya ili zaidi kukufurahisha zaidi. Sasa kama hela hamtoi au mnatoa kwa Mawazo ndio wataendelea kuishia Tandika,Tandale,ilala,ubungo na manzese kuchagua sagula sagula mabaki ya Bra zilizovaliwa ulaya kitu ambacho hata sisi wanawake hatupendi
Thumbs up,.hela hawatoi lakini vitu vzr wanavitaka..toeni hela kwanza muone kama hatumechishi,la cvyo tutaendelea kuvaa sidiria za karume na vyupi vya mwenge hamna namna sasa
 
naamini wamesikia, na yule aliye rijali atakua ameelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom