nurse wa kike vs mwalimu wa sekondari wa kike wanaongoza kuwa single mama

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,611
9,814
Leo ninekaa likaja wazo hivi kwanini walimu wa kike wa sekondari na nurse wakike Wengi ukionana nao wana watoto tu ila baba hawapo yani baba walitia mimba badae wakaingia mitini wakaacha mimba na malezi kwa mama

Swali kwanini wao ndio wathirika zakubwa wa hii kitu.
 
Acha uongo, hiyo research umeifanyia wapi?, tena kwa taarifa yako fani hizo kwa wanawake ndio wanaongoza kwa kuolewa. Kwa bahati inawezekana ulikutana na nesi mmoja na mwal mmoja ambayo ni single mother bac ww ukatoa conclusion
 
Study ya lini na wapi, sample size, hypothesis yako ? Dogo wacha kuongea vitu hewani hewani tuu!!!
 
Naona kijana upo katika kipindi cha Research. Maana umetaja vitu vya kwenye research, watajie vyote ili wakujue kwamba research imeiva bado kudifendi
Ni mazoea tuu, ndo maana mnalalamika ohh wakenya wanapendelewa lkn ishu sio upendeleo kabisa. Kuna vitu ni facts tu zinaongea sio mambo ya kufikirika baada ya viroba...
 
Dah mmegusa mahali aisee shangazi yangu ni Mwalimu mkuu shule moja mkoa fulani na maisha yake si haba nyumba, gari anavyo lkn mume tuu hayupo watoto wote wa baba mmoja ila nasikia alizamia Mozambique huko. Sielewi kwa nn
 
Acha uongo, hiyo research umeifanyia wapi?, tena kwa taarifa yako fani hizo kwa wanawake ndio wanaongoza kwa kuolewa. Kwa bahati inawezekana ulikutana na nesi mmoja na mwal mmoja ambayo ni single mother bac ww ukatoa conclusion
Cio kwel
 
Dah mmegusa mahali aisee shangazi yangu ni Mwalimu mkuu shule moja mkoa fulani na maisha yake si haba nyumba, gari anavyo lkn mume tuu hayupo watoto wote wa baba mmoja ila nasikia alizamia Mozambique huko. Sielewi kwa nn
Mkuu km ni mwalimu mkuu bas hyo ni issue nyingine coz hapa tunazungumzia walimu wa sekondari na sio primary. Mwalimu mkuu siku zote ni mkuu wa shule primary
 
Back
Top Bottom