T-Bagwell
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 1,190
- 2,323
Habarini Jf.
Swali kwa wadada..
Kwamfano akatokea mtu unayempenda au anaye meet requirements unazozitaka akakutongoza.
Wewe ili usionekane kicheche au cheap ukaamua kumkataa ilimradi akutongoze zaidi ya Mara moja ndipo ukubali.
Baada ya kumkataa au kumzungusha jamaa anaingia mitini na kukupotezea utafanyaje?
Kwamfano ukajitoa ufahamu ukamchana jinsi ilivyokuwa na yeye anakwambia tayari yupo taken na hawez kuwa na wewe tena, utafanyaje?