MANUU MANGI
Member
- Apr 4, 2017
- 36
- 68
Ni muda kidogo toka nitumie vyombo vya usafiri wa umma yaan daladala. Niliacha kutumia daladala toka Decemba 2014 baada ya kununua gari la kunifanikishia mishe mjini aina ya Passo.
Hii gari imekuwa ikinisaidia mishe nyingi lakini pia nmeweza kukamata watoto wakali tu hapa town kuanzia wa vyuo mpaka walioko makazini kwa Passo yangu hii 990 cc full AC,mziki mzito sio wa sauti sana,vioo tinted, car perfume ndani na sport rims mguuni black colour,barabaran sinaga fujo za kijinga na ndomaana watoto wa kike wakiingia humu kesho watataka tena lifti.
Juzi gari yangu hii imezingua betri na kwasababu nilikuwa na mishe za pesa maeneno ya kinondoni kwa manyanya nkaamua kupanda daladala toka ukonga banana linaloenda msasani.Mida ya jumamosi saa moja asubuhi nilikuwa kwenye daladala aina ya Dayna Clipper Toyota siti za kati kati kufika maeneo ya airport kujaza abiria ingawa walikuwa wameshajaa na kusimama,alipanda binti mdogo wa makamo kati ya miaka 18 mpaka 22 hivi mwembamba mrefu wa wastani sio mnene akiwa amejivika begi la kama ngozi hivi,nywele fupi, matiti madogo yamechongoka kuonyesha hayajachezewa na mkononi kashikilia simu aina ya Tekno.Kiukweli huyu binti alikuwa ni mzuri na anavutia machoni na kwasababu mimi nilikuwa nmekaa na yeye kasimama viti vitatu mbele hakuweza kuniona nikimwangalia kwa kumkagua.
Niliendelea kumtupia macho bila kuisha hamu,nilitamani foleni pale taraza ziendelee kuwepo ili nimwangalie kwa ufasahaa.Daladala lilifika maeneo ya boma pale ofisi ya bashite watu kadhaa walishuka hivyo kuacha nafasi za wengine kukaa kwenye siti.Mashaalaah mtoto huyu hapa alijivuta mpaka kujikuta amekaa pale nilipokuwa nmekaa.Moyo wangu ulianza kunienda mbio na kujiuliza maswali mengi kuwa nianze kumwongelesha ama niuchune kiume,gari ilianza kuondoka taratibu huku nikimtupia jicho pembe kuchungulia matiti yake meupe yaliyozibwa na kablauzi chepesi cha rangi ya kahawia huku chini akiwa kapigilia jinsi nyeusi iliyombana vyema.
Bila shaka atakuwa mwanafunzi huyu,nilijiwazia huku daladala likilalamika kupanda ule mlima mlaini wa kigogo. Gafla nilijikaza kiume na kumsalimia hujambo baada ya kama dakika kumi kupita toka pale boma,sijambo,aliitikia akiachia tabasamu kwa mbali,hapo ndio nilipozidi kupagawa maana tabasamu lake lilifanya meno yake yaliopangika vyema yaonekane.
Client amefika baadae....