Jamani msinichoke, kuna msichana wangu ananikwaza sana, tunaishi mbalimbali ila tupo mkoa mmoja, tatizo kwa huyu msichana ni matumizi ya simu, yani unaweza mtumia text hata 100 lakini usijibiwe au...
Igweeee!!!
Wikiendi hii nilikuwa na mtoto mkali sana. Mtoto kajaliwa Zigo la maana, upaja wenye uzani wa juu. Rangi ndio usiseme yaani mtoto unaweza kusema hakuumbwa na udongo.
Huyu mtoto Kwa...
KATIKA harakati zako za kutafuta mpenzi, unaweza kukutana na mwanamke ambaye kwa sababu moja au nyingine anakwondolea uwezo wako wa kufikiri, kutumia mantiki na pia kutumia akili yako ya kuzaliwa...
Hi! I'm a lady of 28 years, I'm here to look for a husband.
I'm masters degree holder, TPA worker , polite and humble lady. I'm virgin.
I like children, reading, visiting sick people in...
Habari za usiku wana jukwaa ,ni kwamba nina mpenzi ambaye tumedumu kwenye mahusiano kwa miaka kadhaa hali ya kuwa kila MTU anaishi kivyake yaani yeye anaishi kwao.Mwaka Jana mwezi wa 11 mwishoni...
Salut a tout le monde!!
Aged 35, tall, average weight, christian, graduate, employed etc.
Uwe:
max 30, graduate(preferred), tall (not less 170cm), average weight, no kid(s), stable income etc...
Ni swali tu hivi kati ya binti aliepewa mimba akazaa halafu huyo mwanaume aliemzalisha akaoa binti mwingine na binti aliedumu na mwanaume kwenye mahusiano kwa miaka takriban tano halafu akajatoswa...
Naamini kbs jamii forums ni gwiji wa ushauri ,,
Miaka kadhaa iliopita Nilikua Tanga kwa mapumziko kwasababu ndo nyumbani sasa ktk pitapita zangu nikakutana na kijana ambae tunafahamiana...
Habari wana jf,
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu, Mimi ni kijana wa kiume nafanya kazi ktk private sector.
Kipato changu na maisha yangu ni vya kawaida.
Kwa sasa naitaji Mchumba wa kujenga...
Jamani wadau, napata shida sana na huyu demu wangu, hataki kabisa habari za ku sex, anadai kuwa mpaka nimuoe ndio kila kitu chake nitakipta tena katika hali ya juu, alafu kitu kitu kinaitwa denda...
Mimi ni mwanaume, nna miaka 28 nna kazi yangu (mwajiriwa). Natafuta mwenzi wa maisha. Awe mkiristo, hasa kanda ya ziwa. Umri 22-30 na asiwe mlevi. Karibuni.
Nina umri wa Miaka 23
Nasoma Shahada ya Udaktari
Mwaka wa Pili
Niko Dar es salaam
Natafuta Rafiki wa Kike
Umri awe 18-21
Sibagui Dini
Awe anaishi Dar es Salaam
Awe mwanachuo wa chuo chochote
Awe...
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 31 natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo:
Umri 20+
Elimu: Kidato cha nne na kuendelea
Urefu: 173 cm na kuendelea
Dini: Mkristo
Mwenye sifa anitumie...
[emoji117]SWALI KWA wanaume !!
Ebu Tuambiane ukweli katika hili please!!
Upo home unaishi na wazazi pamoja na
dada yako,
sasa dem wako anakwambia bwana
nataka nije kwenu alafu ukicheki home msala...
habari ya weeked!!!
katika kuadhimisha siku hiyo hebu tukumbuk kidogo huko nyuma tulipokuwa wadogo (watoto) kama wa kiafrika.
je ni jambo gani utawashukuru , pongeza, laumu au hata kuto kusahau...
Serious girl friend is needed
Location:dar es salaam, morogoro & dodoma
Age:21-40
Job:she must be working or business lady
Language:English & swahili.
Any one who is ready just pm!!!!
Salamu wandugu.
Wadada hakikisha unapokua na boy friend basi awe na uwezo wa kukutimizia mahitaji yako yote muhimu, isiwe una mpenzi huku unapiga vibomu wa wanaume wengine.
Unakuta mdada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.