Kwakweli hili tatizo linanipa shida sana!!!

immasakha

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
489
281
Yani huyu duu wng hamalizi viroja, yani ikitokezea kugombana tu hata kwa kuhitilafiana tu kauli bac huniambia "tuachane na nitapata mwenye kheir na mimi" nikumuuliza kosa kubwa la kufanya tuachane ni lipi? Anakosa jibu la kunipa! Kwakweli nipo njia panda
 
mkwa

Mkwala wao huo,hata ukimwambia poa tuachanae atasema 'unaona hunipendi'.Hao ndio wanawake ndo zao ila ku prove nnachosema mwambie poa tuachane,then uone.......
 
Baada ya kuchoka na kauli zake nimetafuta neno la kumjibu na nikamjibu hivi "I will not try to convince you to love me, to respect me, to commit to me. I deserve better than that; I AM BETTER THAN THAT...Goodbye
 
Mwambie poa tuachane uone kama ajaanza kulalamika oooh unipendi, oooh nilikuwa nataka nijue utasemaje ndo majibu yao hao, ila akikubali itakuwa ndio vizuri kwa upande wako atakuwa akupendi au ana mtu mwingine tayari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom