upweke mbaya jamani mi mwenyewe natafuta tusaidiane kutafuta,vigezo vyako nimevikosa,juzi tu nimefikisha 42yrs old!! ntarudi!Mimi mwanaume miaka 32 naishi Dar.
Nahitaji mwanamke umri kuanzia 18yrs hadi 40yrs awe mkazi wa Dar.
Karibu PM mpenzi
wewe miaka yako vipi, 2015 ulikua na 33, 2016 ulikua na 30 na saivi umekua na 32 no wonder unatafutaga tu.
nyuzi zako zilizopita ndo miaka yako iyoLabda umechanganya mkuu mimi nina 32yrs
kufanya nini?Njoo PM.
Ukienda ndiyo utajuakufanya nini?
unataka mwanamke wa nini?Mimi mwanaume miaka 32 naishi Dar.
Nahitaji mwanamke umri kuanzia 18yrs hadi 40yrs awe mkazi wa Dar.
Karibu PM mpenzi