scientificall
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 460
- 360
Ninae mchumba toka tanga mdigo yupo tanga kwao nami nipo mwanza, mipango yetu ya kuona bado ipo jikoni maana mimi ndo namalizia mwaka wangu wa mwisho wa masomo. Toka tuwe katika mahusiano hatujawahi kufanya mapenzi maana ni makubaliano yetu hayo,kwani ananamini nami namwamini hvyo tunasubiri mda mwafaka, kinachonitia hofu ni pale anaponambia na kuniahidi nijipange kama nimezoea kuruka ruka nitatulia tu, kwani yeye kafunzwa unyagoni kafunzika hivyo hana utani na mapenzi, hapo ndo haswaaa ananitia wasiwasi, kunipagawisha, kwani mimi mwenyewe sio mwenyeji wa hayo mambo kiviile asa nahisi kuumbuka au kudharaurika na sijui nini cha kufanya niweze kukabiliana nae pindi tutakapokua kwenye ndoa. Maswali kama" uishawahi oga hiriki, kubebwa mgongoni? na kushindwa kwenda hata kazini.? " huniuliza na mie nabaki kumchekea tu na kumuahidi kukabilaiana nae kama deffensive. Ushauri wenu jamani je hayo maneno yake ni kweli watoto wa kidigo wapo hvyo? Na ni vipi nijipange kukabiliana nayo.nawasilisha....