Hii dunia inamaajabu sana
kunawengine wanayatamani na kuyalilia mapenzi(kupenda),na kunakundi jingine hawataki hata kusikia neno nakupenda
Kwangu mimi nilishaathirika na kuamini kutokupenda duniani.yaani kifupi naweza nikaishi na msichana ila kichwani asiwepo kabisa.Yaani hua inafikia hata kuona text ya neno nakupenda naona kama ni kero kubwa kwangu.
yote haya yalisababishwa na usaliti wa wapenzi wangu wa zamani
i)Wakwanza alikua mtoto wa form 6 .Huyu nilimpenda balaa kumbe alikua katuunganisha kwenye chain moja na marafiki zangu wote bila sisi kujijua.
ii)wapili alikua mdada mmoja nilimpenda sana. Ila nilipoifumania sms yake moja ya kugegedana na njemba moja ivi.Niliona dunia chungu,nakumbuka ilinigharimu kama laki 5 kujidunga Mitungi kila siku ndani ya wiki moja ili nitoe stress
Tangu kipindi hicho niliamini Kujifanya unajua kupenda duniani ni Upuuzi uliotukuka.
kwako wewe;sababu zipi zilikufanya na zinakufanya hata kwakuona kwa wengine uyachukie mapenzi?
Naamini siko pekeangu
kalibuni