Nimekuwa addicted na wake za watu

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,186
9,287
Wakuu habari

Leo natumia platform hii ndogo kukiri kuwa nimekuwa addicted na wake za watu, yaani nikimuona mke wa mtu maeneo ambayo ya kula bata au anywhere ambapo nitaweza kuinteract nae basi hadi moyo unafanya paah, jamani hii tabia kweli sio nzuri kutembea na wake za watu nataka niache maana kuna hadi mmoja alinimbia nimpe mimba halafu yeye atajua jinsi ya kumpanga mumewe.... yaani nataka nijaribu kutulia na huyu mchaga lakin wake za watu nimekuwa na bahati nao sana kushiriki kimapenzi kuliko hata wasio wake za watu. mbaya zaidi wengi wao wana watoto, nishaitwa sana baba au uncle na watoto wasio wangu.



ushauri jins ya kuepuka kuendelea na situation hii


 
siku hizi zambi za kula tigo tumeacha maana mungu mwenyewe amekataza hiyo, kwa ss tunakurestisha inpeace kidizain tu. Dizain ya kwanza n kukuchoma moto ukiwa hai na dizain ya pili inayokuja ni kukuzika ukiwa hai.

Shenz zenu kbs
 
Back
Top Bottom