Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,651
Nimeliona hili muda mrefu na mahali pengi na hili sakata la Zari kuhusu mali ndo limenikumbusha nkaona nishee nanyi.
Imezoeleka wanawake wengi walio kwenye ndoa au wanaoishi bila ndoa na wamezaa na waume zao kutapeliwa mirathi na ndugu wa mume au hata rafiki wa karibu wa mumewe. Ndugu wengine na roho za kimaskini wanakuja kukomba mpaka magodoro yalochakaa na masufuria wanabeba
eti mgao wa mali za ndugu yao huku we mjane unaachwa bila kitu na watoto zaidi ya mmoja. Hili jambo sio ngeni katika jamii za kitanzania licha ya maandiko kukemea lakini watu hawana hofu ya Mungu we umejiaandaa vipi likikukuta hili?
Sasa ninapoongelea kujiwezesha na kujiongeza namaanisha mambo ya kufanya ili kama ukipatwa na hili bado utabaki ngangari.
KUJIONGEZA; ukiwa bado ndoani ama bado ni binti unatarajia kuolewa jiongeze jielimishe kama mazingira yanaruhusu na hukusoma wala huna ujuzi wowote tafuta tu short course upate taaluma yako,hudhuria mafunzo ya ujasiriamali kupata ujuzi.pendelea kusoma vitabu tofauti,makala ujifunze mengi ya msingi.
Naongelea hili sababu nimeshuhudia wajane wengi wakaitapeliwa mali ikiwmo nyumba zenye umiliki halali wa mume anaishia kulia tu hajui hata apambane vipi.
sa we endelea kukaangiza hapo ukimaliza unaishia kuangalia telemundo hujui hata sheria za mirathi zikoje haki zako kama mke.shauriyo!
KUJIWEZESHA;hii inahusisha kuwa shughuli kama vile biashara..ama kuajiriwa kutokana na taaluma yako kama ulipita shule..ili mambo yakibuma huko mbeleni una pa kujishikiza na wanao..so kama mmeo ana uwezo unaweza mpa idea yako nae anakusaidia, but make sure unafanya yote haya watoto wako wamekuakua. Na hii sio tu utapofiwa bali pale utaponyanyaswa pia na ndoa ya mateso usovumilika.
Na wale wasomi msikubali kukalishwa home itendeeni haki elimu yenu.
NAWAAMBIA UKWELI HAKUNA SEHEMU YOYOTE INAYOMWAMURU MWANAMKE KUKAA NDANI NA MWANAUME KUBEBA MZIGO WA FAMILIA PEKEA AKE...BALI MWANAMKE NAE ACHANGIE ILA SIO KWA KIWANGO KIKUBWA KAMA MWANAUME..ref;
mithali 31;10-
10. Mke mwema ni nani awezaye kumwona? maana kima chake chapita kima cha marijani(jamani marijani ni madini fulani very precious yanaitwa ruby kwa kizungu)
11. Moyo wa mumewe humwamini wala hatokosa kupata mapato
12. Humtendea mema wala si mabaya siku zote za maisha yake
13. Hutafuta sufu na kitani,hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo.
14. Afanana na merikebu za biashara,hulta chakula chake kutoka mbali
15. Tena huamka kabla haujaisha usiku,huwapa watu wa nyumbani mwake chakula na wajakazi sehemu zao
16. Huangalia shamba akalinunua.kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu
17. Hujifunga nguvu kiunoni kama mshipi..hutia mikono yake nguvu.
18. Huona kama bidhaa yale ina faida,taa yake haizimiki usiku
19. Hutia mikono yake katika kusokota,na mikono yake huishika pia
25. Nguvu na hadhi ndio mavazi yake,anaucheka wakati ujao
27. Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake,
wala hali chakula cja uvivu.
HIO NDO TAFSIRI YA MKE MWEMA...NKIKUOMBA UJIONGEZE NA KUJIWEZESHA KWA MANUFAA YAKO NNA DHAMBI SHOGA?
KAZI KWAKO!!!