Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hey lo! Skunyingi sijaandika small thread ila nipo buzy na story ya on my high horse Story: On My High Horses ... Juzi kati nikatua Kenya buana, Mombasa mojaaa si unajua tena mambo ya script...
1 Reactions
54 Replies
7K Views
Karibu wadau wote tulio gongewa wake zetu,wachumba zetu,wadogo zetu,dada zetu kutokana na mchezo wa jogging Huu mchezo kuna mijitu kazi yao ni kutafuta mademu tu kwenye jogging ,linajifanya kocha...
1 Reactions
6 Replies
931 Views
Namuogopa mchumba wangu, Namuogopa mchumba wangu kama alifanya attempt 2 za kujiua kwa ajili yangu kwa makosa madogo vile vipi nikifanya kosa kubwa? Siombei kufanya makosa wala sifanyi makosa...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Habari za mchana wana jf, Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 29, Nipo kwenye ndoa tayari, ila mara nyingi sana sina hamu kabisa na tendo la ndoa (hisia za kufanya tendo) je, hii husababishwa...
4 Reactions
60 Replies
17K Views
kwangu mimi, ni rahisi kumsamehe mpenzi anaye cheat kuliko anayefuja au kukupiga pesa. Kwako kipi ni rahisi?
1 Reactions
18 Replies
1K Views
1. Unakaaje kwa dada yako..Mbaya zaidi kwa dadako mwenye mchumba au aliyeolewa..huoni aibu? 2. Unampigiaje simu shemeji yako (aliyemuoa dada yako) na kuanza kucheka cheka... Acheni mambo ya ajabu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi ni Polisi: Kisa cha Mke wa Waziri "Yanyukwe....Yakobolewe" (hii iliashiria kupiga makofi) "Ipo siku moja nitarudi nyumbani, kwa baba na mama nikiwa kamanda… (repeat)" Weka...
23 Reactions
369 Replies
67K Views
Miaka hiyo mwishoni mwa 90's tuko mikoani huko tulikuwa tunawaonea wivu sana watoto wa daslam. Matukio ya tv ni wao, kwenye radio ni wao, kwenye mizik ni wao, mademu wazuri ni wao.. Kipindi ile...
8 Reactions
42 Replies
3K Views
Mfungo mwema kwa ndugu zetu waislamu. Niingie kwa mada bila kuchelewa kuna utafiti nimefanya kupitia mimi na marafiki zangu nimegundua wanawake wanatuonea sana sisi wanaume wapole hasa kwenye...
6 Reactions
27 Replies
5K Views
Nimekuwa nikiona mara kwa mara, unakuta akina dada wamekaa sehemu wanapiga stori au wanatembea lakini ghafla akapita mdada mwenzao basi akishawapita lazma wageuke wamuangalie. Nimezoea kuona sie...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa. Natumai mu wazima na poleni na mihangaiko ya siku ya leo. Naomba mawazo yenu au msaada wenu kwenye jambo hili dogo au kubwa ambalo nimelifikiria sana kwa muda mrefu katika...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Baada ya kukuta chapati zimeisha kwa yule Mama choreko wa kinyiramba nilielekezwa mtaa wa pili ambako nilienda na kukuta chapati haswaa zikichomwa huku wateja wenzangu wakingoja, ilibidi niache...
5 Reactions
38 Replies
6K Views
SIITAJI KURUDI NLIKOTOKA.. Mwandishi: SEID BIN SALIM SEHEMU YA KWANZA Mwaka mmoja ukiwa umepita tokea binti mwenye umri wa miaka 24 lucky ajiunge na chuo kikuu cha dar es salam UNIVERSITY OF DAR...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa kitanzania ninatafuta mchumba, mimi ni mfanyabiashara wa madini nina pesa, nyumba, gari na kila kitu ambacho mtu anapaswa kuwa nacho katika maisha, tatizo tu natafuta mchumba aje...
3 Reactions
95 Replies
6K Views
Nilikua na mahusiano nae kama miezi 18,nilimfanyia mambo ya kumfurahisha sana kwan mm ni mcheshi na vituko vya kufurahisha all time, Tuliachana nae nikaenda safari ya mbali kutafuta shekeli ili...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Nawaza tu kwa sauti, kama ingekuwa ukizini tu unawekewa alama usoni , nyuso zetu zingekuwa na alama ngapi? Binafsi ningekuwa na alama chache sasa. Kati ya wanaume na wanawake nani angekuwa na...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Naitwa Monilite, Natafuta marafiki wa jinsia zote wa kushauriana mambo tofauti katika maisha ya kila siku Sichagui kabila Umri 26 - 30 Awe anapatikana dar es salaam Alie tayar aje PM
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndio, Wanawake wanakojoa wanapofika kileleni katika tendo la ndoa. Hii inaitwa fe.male ej.aculation au squ.irting. Wakati male eja.culation inaweza kuwa na ujazo wa kijiko 1 au 2, ya wakina mama...
5 Reactions
39 Replies
33K Views
Habari wadau wa MMU hivi kabla ya mwaka 2015 kulikua na Uzi humu jf kuhusu kuwepo kwa bei za wanawake wanajiuza na mitaa ambayo wanapatikana swali je Kuanzia 2016 mpaka sasa... Bado biashara...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
WANAUMEEEEE!!!! itkieni EEEEEEHHHHH kwa sauti zetu nzito mungu alizotupa. Mwanaume ni mwanaume kiumbe amabacho mungu alikiumba kwa mfano wake, Hutakiwi kulemaa lemaa maana hizo nguvu na akili...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…