Maoni... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maoni...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mbu, Dec 17, 2008.

 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...mmoja wapo hapo anastahiki lawama zote, yupi kati ya hao? ...kwanini?
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2008
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Wa kati ndo wa kulaumiwa kwa sababu anaonekana hayuko makini kumchunga/kucheki usalama wa demu wake. Hivyo hata usalama wa demu upo hatarini iwapo litatokea jambo lolote baya.
   
 3. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Inawezekana hao wote ni hubbies wake. Pengine hapo ni moja ya nchi zinazoruhusu mke kuwa na mume zaidi ya mmoja...
   
 4. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Rafiki mkia wa fisi ukishiriki atakufilisi
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...:D ha ha ha, nimeukumbuka ule wimbo wa DDC enzi zile," bibi mbelee, bwana nyumaa,....kama kumbikumbi!"

  kwahiyo inabidi jamaa awe, "...shingo feni", au?

  Ahsante Ndugu.
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  >>>:D ...ahsante kaka, duh, Rafiki kama fisi, "anasubiria mkono uanguke aondoke nao!" ...funzo hilo!
   
 7. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #7
  Dec 20, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 8. M

  Mtarajiwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2008
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 440
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo mtoto wa kike ndiye anapaswa kulaumiwa kwa kuwachanganya washkaji!!
   
 9. Typical

  Typical JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2008
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 261
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  mtoto wa kike ndo wa kulaumiwa hapo,anamzunguka mshikaji wake hapo hapo.hiyo ni soo!!!
   
 10. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #10
  Dec 22, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  :)...kwahiyo 'mshikaji' anavyoonekana amemkamata mkono bibie halaumiki kumzunguka mshikaji wake?

  ...huenda msichana hajatambua aliyemshika mkono sio mpenziwe?
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2017
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,269
  Likes Received: 22,030
  Trophy Points: 280
  KAZI iko
   
 12. teledam

  teledam JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2017
  Joined: Mar 6, 2017
  Messages: 475
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 80
  Iko wapi hiyo kazi
   
Loading...